Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mungu kweli fundi ila yule mzee tumwache tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwahi kukiri lini ukweli wa aibu?Bahati Magufuli (John Pombe) hayupo kukiri au kukana hilo.
Dah!......Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Hakuwa anamnyenyekea Bali alikuwa anamrubuni kwenye ile kampeni yake ya kuunga mkono juhudi.Yaani Rais magufuli amnyenyekee Heche?
Mbona hakusema wakati ule.....uongo
Hawa wanaomuongelea mtume Hadi sasa kwani kafufuka? Kila siku tunasikia habari za kina Nyerere, Mandela, Mkapa, Mwinyi nk, kwani wao wako hai?Heche anafanya upumbavu tuu, Sasa mtu alishakufa angenyamaza tuu hakuna namna ya kuthibisha au kukanusha. Yeye anagombea mwakani hilo ndo la msingi.
Hahitaji ubunge wa mbeleko maana anaweza kupata wa halali. Au unadhani Kila mtu anataka madaraka ya hisani?Na bado 2025 huo ubunge hapati. Bora angekubali wazo la JPM.
Ujibustishe na jina la jizi la kura?!Wanatumia jina la magufuli kujibustisha
Anataka awe anaongelewa.Wanatumia jina la magufuli kujibustisha
HakikaKwani wewe mgeni na Jiwe !.Alikuwa na siasa za hovyo kupitiliza.
Heche anafaa kuwa Mwenyekiti wa CDM baada ya MboweLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Madhambi yake yamfuate huko huko kama Iddi AminiWamuache Mzee wa watu alishapumzika 😔🙏
Ndiyo lakini hana jeuri ya kukataa uwaziri aache siasa za kishamba.Kwani wewe mgeni na Jiwe !.Alikuwa na siasa za hovyo kupitiliza.
Usiamini kila kitu kinachosemwa na wanasiasa. Yaani kusema tu hivyo tayari umeamini kuwa Heche alikuwa approached kuhamia Ccm. Bado safari yetu kama taifa ni ndefu sanaLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Ukinyamaza wewe inatosha, waache wenye uwezo wa kusema maovu ya Magufuli wayaseme. Kusema kuwa tuwaache waliokufa wapumzike kwa vile wamekufa ni hoja dhaifu. Hata ukifa lazima tukosoe matendo yako maovu.Heche anafanya upumbavu tuu, Sasa mtu alishakufa angenyamaza tuu hakuna namna ya kuthibisha au kukanusha. Yeye anagombea mwakani hilo ndo la msingi.