John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Magufuli alikuwa RAIS MTOA RUSHWA UPINZANI HAUFI KWA KURUBUNI WAPINZANI NA KUWAHOGA VYEO
 
aache upotoshaji 🐒

aulizwe kama ameacha kubeti
 
Bila kumtaja Magufuli mwanasiasa unapotea na watu wanakusahau!
 
Kwahiyo anaongea ili apewe sifa na hongera?
Yanamsaidia Nini kwa sasa?
 
Hawa ndiyo wanaume wachache pamoja na Peter Msigwa wa Iringa ambao unaweza ukawahesabu.

Peter Msigwa naye alikataa kuchomolewa Segerea na watu wa Magufuli baada ya kuhukumiwa kesi ya kumuua Akwilina Akwelini.

Huu unyama alioufanya Magufuli lazima uanikwe wote ili jamii itambue kuwa Tanzania iliiuwa inapita kwenye kipindi cha shetani mwaka 2015-21.
 
Bahati Magufuli (John Pombe) hayupo kukiri au kukana hilo.
 
Hela aliyotoa Shujaa Magufuli kwa family ya Msigwa ilitumika kumtoa Gerezani Freeman Mbowe
 
Nyie nyumbu hamnaga hata aibu
 
Tatizo wanasiasa wa kitanzania si wa kuamini. Kwa kuwa hawana uwezo wa kufanya kaz za kitaalam. Kwa hiyo ni kufanya siasa, na kuongea uongo uongo tu.
Hebu thibitisha kama anachosema John Heche ni uwongo!! Mbona wengine muko kama kuku wasio na vichwa?? Unapinga tu kwa vile unatumia bando lako kwenye smartphone yako!!
 
Kasema yye ushahidi uko wap? Maaana magufuli yupo mbele za haki hatujui je kweli au amekos maneno ya kusema
 
Wewe umeshakuwa affected psychologically....mwacheni mwamba apumzike.
Hao chadema so far wamefanya nini zaidi ya kubugia ruzuku tu?...
Hiyo Avatar uliyoweka inadhihirisha chuki....huyo jamaa yako kwenye avatar hawezi kumsahau Chuma pale Butimba...
 
Anatafuta kiki tu. Mbona hakuyasema haya alipokuwa hai? Atuthibitishie walau.
Alisema zaidi ya mara Moja, huenda ww ndio umemsikia Leo. Sasa hilo sio kosa lake Bali ni lako.
 
Wewe umeshakuwa affected psychologically....mwacheni mwamba apumzike.
Hao chadema so far wamefanya nini zaidi ya kubugia ruzuku tu?...
Hiyo Avatar uliyoweka inadhihirisha chuki....huyo jamaa yako kwenye avatar hawezi kumsahau Chuma pale Butimba...
Huyo unayemuita Chuma tuliyemzika Chato ndiyo hatamsahau huyu Mwamba wa Butimba. Maana Magu alidhani kila mmoja anaweza kumfokea, lakini mwamba wa Butimba akampa za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…