John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big respect to you
Atupe ushahidi usioacha shaka.
 
Ben Saanane, Azory Gwanda, Mcomoro, wale wa kwenye viroba waliotupwa baharini. Na wale zaidi ya 300 wa MKIRU

Kama mama yako angeuliwa na Magufuli, naamini usingeuliza swali la kipimbi kama hili
Weka ushahidi
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big respect to you
Bahati Mbaya marehemu hawezi kujitetea... Itabaki ni uzushi na uongo
 
Back
Top Bottom