Pre GE2025 John Heche: Makonda anawahoji Polisi kwenye mkutano wa hadhara wa CCM kwasababu anawaona kama green guard

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muone huyu nae..!!

Mwenyewe umeandika "PGO imejaa kila kitu kwa kona zote" hapo ndipo nikapata sababu ya kukwambia tuwekee tupaone wapi pameainisha nani wanatakiwa kuwahoji RPC's.

Hapa sio suala la ku quote neno sahihi toka kwa kile ulichoandika, ukiwa hata unachoandika hujui maana yake!.

Ukiwa na njaa usiwe na argument nami, kwanza kula ushibe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Siyo jukumu langu kukutafutia PGO.
Nenda kaisome kisha uje kupinga hapa
 
Siyo jukumu langu kukutafutia PGO.
Nenda kaisome kisha uje kupinga hapa
Hujielewi, siwezi kwenda kutafuta kitu nilichotumwa na mjinga asiyejua kiko wapi, kama hujui kilipo kwenye hiyo PGO kwanini ulisema sheria imeainisha?!

Tafuta ugali ule hata kama kiporo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwani hao RPC's ni wakina nani mpaka wasihojiwe na wananchi?

Heche anataka kusema ili kuwahoji hao, kuna sheria maalum imewekwa kuonesha ni wakina nani wanaotakiwa kuwahoji RPC's?

- Kama ni hiyo PGO ndio imeainisha hayo, basi angetuambia ni kifungu kipi ndio kinasema hivyo.

Kama RPC's wamewekwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, sioni kwanini wasihojiwe na wananchi wanaowatumikia.

Wale sio mabosi wa wananchi, ni watumishi wa wananchi, na wala hawalipwi mishahara ili wakae ofisini, wanatakiwa kutoka wakasikilize kero za wananchi mitaani.

Kwahiyo kila mtu ana haki ya kumwita askari ya cheo chochote na kumhoji?

Hujui hao RPC wana mamlaka yao ya uteuzi inayoweza kuwahoji?

Jeshi la polisi halipo chini ya chama chochote cha siasa useme wana uwezo wa kuhojiwa na mwenezi.
 
Kwa hiyo CHADEMA huwa mnapolitaka jeshi la polisi kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa mbalimbali huwa mnatumia kifungu gani cha sheria? Na nyinyi mda mnahoji mko na tofauti ipi na Makonda na wananchi wengine?
Tatizo lenu ni Makonda na hilo liko wazi chuki,unafiki, roho mbaya na kujihesabia haki kumewajaa!
 
Unaendelea kuamini ujinga wa Heche! Sasa kama kuna malalamiko RPC asihojiwe? Hivi Nyinyi CHADEMA ni wapuuzi sana! Polisi ipo kwa usalama wa raia na mali zao!
Kwa vile kahoji adui yenu Makonda mnabweka!
CHADEMA mnejaa chuki,unafiki na kutojua mnachotaka!

Ni mtu mjinga tu asiyejua kuwa kinachofanywa na Makonda ni siasa nyepesi, na sio kuhoji kwa maana ya kutatua matatizo. Kama ni malalamiko dhidi ya police yamejaa nchi mzima, na hakuna popote wananchi wanaweza kuwaita polisi na kuwahoji, tena hadharani. Ni mara ngapi malalamiko yanatolewa, tena ya kutosha na polisi wanasikia, Makonda amekuwa akisikia na wananchi wakiona na kusikia, ni wapi huyo Makonda aliwahi kujotokeza kama mwananchi akawahoji hao polisi, au malalamiko ya hao wananchi yameanza baada ya hizi ziara za Makonda?

Inshort kinachofanyika ni kiki kama kiki nyingine, lakini usitegemee ufanisi wowote kwa mbinu hizo za kusaka kiki.
 
Sasa wewe ulitaka Makonda amalize shida zote na malalamiko ya wananchi juu ya jeshi la polisi!
Kwanza hajakiuka sheria yeyote kuhoji jeshi la polisi,Pili Makonda ni mwananchi kama Mimi na wewe!
Ila Kinachowafanya muongee sana ujinga hapa ni chuki na hasira yenu ilojaa vifuani mwenu!
Niwakumbushe tu CHADEMA! Neno linasema hasira hukaa Kifuani mwa MPUMBAVU!
 
Mfumo wa Kizezeta kabisa ndio maana tunachekwa na Mataifa.
 
Kwani hao RPC's ni wakina nani mpaka wasihojiwe na wananchi?

Heche anataka kusema ili kuwahoji hao, kuna sheria maalum imewekwa kuonesha ni wakina nani wanaotakiwa kuwahoji RPC's?

- Kama ni hiyo PGO ndio imeainisha hayo, basi angetuambia ni kifungu kipi ndio kinasema hivyo.

Kama RPC's wamewekwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, sioni kwanini wasihojiwe na wananchi wanaowatumikia.

Wale sio mabosi wa wananchi, ni watumishi wa wananchi, na wala hawalipwi mishahara ili wakae ofisini, wanatakiwa kutoka wakasikilize kero za wananchi mitaani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nilijua lazima atajitokeza asiye na kichwa kumtetea Makonda kuhoji RPCs Mambo ya upelelezi hadharani.
 
Kwahiyo kila mtu ana haki ya kumwita askari ya cheo chochote na kumhoji?

Hujui hao RPC wana mamlaka yao ya uteuzi inayoweza kuwahoji?

Jeshi la polisi halipo chini ya chama chochote cha siasa useme wana uwezo wa kuhojiwa na mwenezi.
Simple tu, hivi kama hata hiyo mamlaka ya uteuzi ya IGP inatoka kwa wananchi, kuna mwingine yupi ambaye yupo juu ya wananchi hata wasiweze kumhoji?!

Hapa haijalishi itikadi wala vinginevyo, muhimu mtanzania yeyote akiwa na concern inayomtaka RPC atoe majibu, basi RPC anatakiwa kufanya hivyo bila kujali ameulizwa na nani.

Hivyo basi, hata Heche ana haki ya kumpigia simu RPC akiwa kwenye mikutano yake ya hadhara na kumuuliza chochote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuwekee hicho kifungu kinachosema nani wanatakiwa kuwahoji RPC's kutoka kwenye PGO kama unacho.

Mimi ninachoamini, hata Heche binafsi anatakiwa kumhoji RPC popote akiwa na concern inayohitaji majibu toka kwake, tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, Heche ameamua kuipiga teke haki yake hiyo akiamini kwamba, hawezi kuipata kama ambavyo Makonda ameipata.

Hii inasababishwa na siasa za CCM kuingia kwenye jeshi la polisi, lakini tukiweka siasa hizo pembeni, raia wote wa nchi hii ni sawa, hayupo aliye juu ya sheria, hivyo Heche anatakiwa kuipigania haki yake badala ya kumlalamikia Makonda kuitumia haki yake hata kama anatokea CCM.

Kinachopingwa na MH heche no Hilo jukwa analotumia kuwaita na kuwahoji hao ni watumishi wa uma hawapaswi kuwajibika kisiasa inaleta ukakasi kwani inaonyesha wanatumika kisiasa
 
Nilijua lazima atajitokeza asiye na kichwa kumtetea Makonda kuhoji RPCs Mambo ya upelelezi hadharani.
Tatizo lenu mko soft sana, challenge kidogo mnaishia kutoa upepo tu, nimewashawazoea.

Hebu wewe mwenye "kichwa" tuoneshe wapi kwenye main thread Heche amezungumzia habari ya upelelezi?

Unajitungia mambo yako kichwani kisha unakuja kuyaleta hapa halafu unajiona mjanja!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simple tu, hivi kama hata hiyo mamlaka ya uteuzi ya hao RPCs inatoka kwa wananchi, ukiondoa huyu aliyepo hivi sasa, kuna mwingine yupi ambaye yupo juu ya wananchi hata wasiweze kumhoji?!

Hapa haijalishi itikadi wala vinginevyo, muhimu mtanzania yeyote akiwa na concern inayomtaka RPC atoe majibu, basi RPC anatakiwa kufanya hivyo bila kujali ameulizwa na nani.

Hivyo basi, hata Heche ana haki ya kumpigia simu RPC akiwa kwenye mikutano yake ya hadhara, na kumuuliza chochote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tena jeshi letu la polisi linayo orodha ya mawasliano ya makamanda wa wilaya,mikoa na IGP!
Anatokea mjinga mmoja na bangi zake ya Tarime anasema polisi hawezi kuulizwa ili atoe ufafanuzi kwa wananchi!
Tatizo lao hawa nyumbu ni Makonda!
 
Kinachopingwa na MH heche no Hilo jukwa analotumia kuwaita na kuwahoji hao ni watumishi wa uma hawapaswi kuwajibika kisiasa inaleta ukakasi kwani inaonyesha wanatumika kisiasa
Nauliza tena "mtumishi wa umma" ni nani?

Kwani neno "umma" linawatenga wanasiasa?

Kwamba tuseme "wanasiasa" sio miongoni mwa umma wa watanzania?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kinachopingwa na MH heche no Hilo jukwa analotumia kuwaita na kuwahoji hao ni watumishi wa uma hawapaswi kuwajibika kisiasa inaleta ukakasi kwani inaonyesha wanatumika kisiasa
Mara ngapi Heche analitaka na kuhoji jeshi la polisi Kawasaki na kuwakamata watuhumiwa!
Hapo Heche anatumia sheria gani?
 
Sasa wewe ulitaka Makonda amalize shida zote na malalamiko ya wananchi juu ya jeshi la polisi!
Kwanza hajakiuka sheria yeyote kuhoji jeshi la polisi,Pili Makonda ni mwananchi kama Mimi na wewe!
Ila Kinachowafanya muongee sana ujinga hapa ni chuki na hasira yenu ilojaa vifuani mwenu!
Niwakumbushe tu CHADEMA! Neno linasema hasira hukaa Kifuani mwa MPUMBAVU!

Nikusaidie kitu, hakuna jeshi la police linahojiwa na raia kwa style hiyo ya Makonda, labda kwa minajili ya kusaka kiki. Vinginevyo iwezekane kwa raia kuwaita police na kuwahoji hadharani maana kutakuwa hakuna Sheria itakuwa imevunjwa. Na sio kwamba Makonda hajui kuwa wananchi hawana uwezo wa kuwaita police nd kuwahoji hadharani. Kwa kutusaidia tu hakuna tatizo lolote linatatuliwa kwa mtindo huo wa Makonda, zaidi ya siasa za hadaa.
 
Kosa kubwa la Polisi ni Uchafu wao wala sio kuitwa na kuhojiwa au kumyenyekea Mwananchi yoyote yule (ili mradi mahojiano hayo yapo ndani ya wajibu wake)

Binafsi kwenye Ideal World ningependa hata mtoto wa miaka mitano kama vibaka wamepitia mwanaserere wake akimuona afande popote aweze kumuita na kumuhoji na asikilizwe....

Hatupaswi tu kuunda Taasisi za nchi Upya bali Taasisi za Vichwa vyetu kutambua kwamba hawa watu sio mabosi wetu bali ni watumishi wetu.....

Kuna kipindi kisheria Binadamu mmoja alikuwa na Uhalali / Haki ya kumiliki watu / mtu na vizazi vyake vyote (it was legal but unjust) Ukiwa Mtumishi - Tumikia (Hususan kipindi hiki cha ajira za kutafuta kwa 4 Figure) - Hutaki njoo huku kwenye sidelines ya sisi walipa Kodi ili na wewe uweze kuwahoji walio tayari kutumikia...
 
Hebu tuwekee hicho kifungu kinachosema nani wanatakiwa kuwahoji RPC's kutoka kwenye PGO kama unacho.

Mimi ninachoamini, hata Heche binafsi anatakiwa kumhoji RPC popote akiwa na concern inayohitaji majibu toka kwake, tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, Heche ameamua kuipiga teke haki yake hiyo akiamini kwamba, hawezi kuipata kama ambavyo Makonda ameipata.

Hii inasababishwa na siasa za CCM kuingia kwenye jeshi la polisi, lakini tukiweka siasa hizo pembeni, raia wote wa nchi hii ni sawa, hayupo aliye juu ya sheria, hivyo Heche anatakiwa kuipigania haki yake badala ya kumlalamikia Makonda kuitumia haki yake hata kama anatokea CCM.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Itoshe kusema huelewei hatari ya chama cha siasa kuwa na mamlaka ya kuwahoji au ku influence utendaji kazi wa polisi.
 
Back
Top Bottom