Pre GE2025 John Heche: Makonda anawahoji Polisi kwenye mkutano wa hadhara wa CCM kwasababu anawaona kama green guard

Pre GE2025 John Heche: Makonda anawahoji Polisi kwenye mkutano wa hadhara wa CCM kwasababu anawaona kama green guard

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mara ngapi Heche analitaka na kuhoji jeshi la polisi Kawasaki na kuwakamata watuhumiwa!
Hapo Heche anatumia sheria gani?
Amewahi kumuita polisi gani akamuhoji kwenye mkutano wa hadhara Ili atoe majibu?
 
Kwa kweli kuna baadhi ya mambo Rais anatakiwa ayatolee tamko kwa sababu haifai kiongozi wa chama kumhoji na kumkemea mtumishi wa umma tena wakati mwingine kwa kumdhalilisha mbele ya hadhara,viongozi wa chama wadili na viongozi wa kisiasa kama RC na DC.
 
Itoshe kusema huelewei hatari ya chama cha siasa kuwa na mamlaka ya kuwahoji au ku influence utendaji kazi wa polisi.
Wewe ndo huelewi! Chama Kinawajibika kuisimamia serkali ili wananchi wapate huduma na maendeleo!
Ndo maana tuna mihimili Mira tu Mahakama,Bunge na Serkali! Serkali mkuu wake ni Rais ambaye ni zao la chama cha siasa!
Ukituliza kichwa ukaacha mihemko na unyumbu utanielewa!
Tatizo lenu CHADEMA mnajitia ujuaji wa kujua kila jambo!
 
Kwa kweli kuna baadhi ya mambo Rais anatakiwa ayatolee tamko kwa sababu haifai kiongozi wa chama kumhoji na kumkemea mtumishi wa umma tena wakati mwingine kwa kumdhalilisha mbele ya hadhara,viongozi wa chama wadili na viongozi wa kisiasa kama RC na DC.
Zero brain!
 
Wewe unajiona una akili sana kwa sababu unaona sawa anachofanya yule mfuga matako mwenzio!
Unaona sasa ulivyo mpuuzi! Wewe mwenye matako madogo umesaidia nini nchi?.Ndo maana nimeandika humu nyinyi CHADEMA wengine wenu mna chuki na roho mbaya!
 
Itoshe kusema huelewei hatari ya chama cha siasa kuwa na mamlaka ya kuwahoji au ku influence utendaji kazi wa polisi.
Kwani nani kawazuia Chadema kuwahoji polisi kama wakiwa na concern inayohitaji maelezo toka kwao?

Najua mtasema ooh Chadema hawawezi kuvunja sheria, ok basi tuwekeeni hiyo sheria inayowazuia wanasiasa kuwahoji polisi tuione.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Unaona sasa ulivyo mpuuzi! Ndo maana nimeandika humu nyinyi CHADEMA wengine wenu mna chuki na roho mbaya!
Mimi sio mtumwa wa chama chochote cha siasa mtu yeyote akiniletea za kuleta na mimi simkawizi,hili ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kutoa maoni kwa jinsi anavyoona inafaa kwahiyo huwezi kunikashfu kwa sababu ya mtazamo wangu ni tofauti na wako halafu mimi nikakuchekea.
Wewe amini unavyoamini na mimi niache niamini ninachoamini hakuna haja ya kunitukana.
 
Wewe unajiona una akili sana kwa sababu unaona sawa anachofanya yule mfuga matako mwenzio!
Hiki ndicho kinachowaongoza kila mkiona Makonda amezungumza jambo, badala ya kutafakari kile alichoongea, nimeona wengi wenu mnaishia kumtukana matusi ya nguoni, mmepwaya sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi sio mtumwa wa chama chochote cha siasa mtu yeyote akiniletea za kuleta na mimi simkawizi,hili ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kutoa maoni kwa jinsi anavyoona inafaa kwahiyo huwezi kunikashfu kwa sababu ya mtazamo wangu ni tofauti na wako halafu mimi nikakuchekea.
Wewe amini unavyoamini na mimi niache niamini ninachoamini hakuna haja ya kunitukana.
Sasa kama unajua hilo mbona unaandika lugha chafu humu? Punguza mihemko!
 
Sasa kama unajua hilo mbona unaandika lugha chafu humu? Punguza mihemko!
Wewe unaona lugha uliyotumia nzuri? Unamuitaje mtu "Zero brain" kwa sababu tu maoni yake yanakukera! Endelea tu.
 
Unaendelea kuamini ujinga wa Heche! Sasa kama kuna malalamiko RPC asihojiwe? Hivi Nyinyi CHADEMA ni wapuuzi sana! Polisi ipo kwa usalama wa raia na mali zao!
Kwa vile kahoji adui yenu Makonda mnabweka!
CHADEMA mnejaa chuki,unafiki na kutojua mnachotaka!
Hivi Bashite kuna tatizo lolote ameshalitatua ktk hizo ziala zake?

Mbona mimi naona kama anafanya komedi tu za kujitafutia umaarufu ambao hana
 
Hivi Bashite kuna tatizo lolote ameshalitatua ktk hizo ziala zake?

Mbona mimi naona kama anafanya komedi tu za kujitafutia umaarufu ambao hana
Wewe huwezi kuona! Na lengo la Makonda si kukufanya wewe ujue na ukikubali anachofanya!
Wewe endelea na CHADEMA yako bhana,Vipi Logging ratiba inasoma wapi?
 
Wewe huwezi kuona! Na lengo la Makonda si kukufanya wewe ujue na ukikubali anachofanya!
Wewe endelea na CHADEMA yako bhana,Vipi Logging ratiba inasoma wapi?
Jibu swali. Kuna tatizo lolote Bashite amelitatua katika hizo ziala zake?

Mbona swali ni jipesi sana.
 
Back
Top Bottom