Siyo jukumu langu kukutafutia PGO.Muone huyu nae..!!
Mwenyewe umeandika "PGO imejaa kila kitu kwa kona zote" hapo ndipo nikapata sababu ya kukwambia tuwekee tupaone wapi pameainisha nani wanatakiwa kuwahoji RPC's.
Hapa sio suala la ku quote neno sahihi toka kwa kile ulichoandika, ukiwa hata unachoandika hujui maana yake!.
Ukiwa na njaa usiwe na argument nami, kwanza kula ushibe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hujielewi, siwezi kwenda kutafuta kitu nilichotumwa na mjinga asiyejua kiko wapi, kama hujui kilipo kwenye hiyo PGO kwanini ulisema sheria imeainisha?!Siyo jukumu langu kukutafutia PGO.
Nenda kaisome kisha uje kupinga hapa
poaHujielewi, siwezi kwenda kutafuta kitu nilichotumwa na mjinga asiyejua kiko wapi, kama hujui kilipo kwenye hiyo PGO kwanini ulisema sheria imeainisha?!
Tafuta ugali ule hata kama kiporo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Very nice, next time tafuta wajinga wenzio muende sawa.
Shukran ndugu mpumbavuVery nice, next time tafuta wajinga wenzio muende sawa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kila mtu ana haki ya kumwita askari ya cheo chochote na kumhoji?Kwani hao RPC's ni wakina nani mpaka wasihojiwe na wananchi?
Heche anataka kusema ili kuwahoji hao, kuna sheria maalum imewekwa kuonesha ni wakina nani wanaotakiwa kuwahoji RPC's?
- Kama ni hiyo PGO ndio imeainisha hayo, basi angetuambia ni kifungu kipi ndio kinasema hivyo.
Kama RPC's wamewekwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, sioni kwanini wasihojiwe na wananchi wanaowatumikia.
Wale sio mabosi wa wananchi, ni watumishi wa wananchi, na wala hawalipwi mishahara ili wakae ofisini, wanatakiwa kutoka wakasikilize kero za wananchi mitaani.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo CHADEMA huwa mnapolitaka jeshi la polisi kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa mbalimbali huwa mnatumia kifungu gani cha sheria? Na nyinyi mda mnahoji mko na tofauti ipi na Makonda na wananchi wengine?Kwahiyo kila mtu ana haki ya kumwita askari ya cheo chochote na kumhoji?
Hujui hao RPC wana mamlaka yao ya uteuzi inayoweza kuwahoji?
Jeshi la polisi halipo chini ya chama chochote cha siasa useme wana uwezo wa kuhojiwa na mwenezi.
Unaendelea kuamini ujinga wa Heche! Sasa kama kuna malalamiko RPC asihojiwe? Hivi Nyinyi CHADEMA ni wapuuzi sana! Polisi ipo kwa usalama wa raia na mali zao!
Kwa vile kahoji adui yenu Makonda mnabweka!
CHADEMA mnejaa chuki,unafiki na kutojua mnachotaka!
Sasa wewe ulitaka Makonda amalize shida zote na malalamiko ya wananchi juu ya jeshi la polisi!Ni mtu mjinga tu asiyejua kuwa kinachofanywa na Makonda ni siasa nyepesi, na sio kuhoji kwa maana ya kutatua matatizo. Kama ni malalamiko dhidi ya police yamejaa nchi mzima, na hakuna popote wananchi wanaweza kuwaita polisi na kuwahoji, tena hadharani. Ni mara ngapi malalamiko yanatolewa, tena ya kutosha na polisi wanasikia, Makonda amekuwa akisikia na wananchi wakiona na kusikia, ni wapi huyo Makonda aliwahi kujotokeza kama mwananchi akawahoji hao polisi, au malalamiko ya hao wananchi yameanza baada ya hizi ziara za Makonda?
Inshort kinachofanyika ni kiki kama kiki nyingine, lakini usitegemee ufanisi wowote kwa mbinu hizo za kusaka kiki.
Nilijua lazima atajitokeza asiye na kichwa kumtetea Makonda kuhoji RPCs Mambo ya upelelezi hadharani.Kwani hao RPC's ni wakina nani mpaka wasihojiwe na wananchi?
Heche anataka kusema ili kuwahoji hao, kuna sheria maalum imewekwa kuonesha ni wakina nani wanaotakiwa kuwahoji RPC's?
- Kama ni hiyo PGO ndio imeainisha hayo, basi angetuambia ni kifungu kipi ndio kinasema hivyo.
Kama RPC's wamewekwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, sioni kwanini wasihojiwe na wananchi wanaowatumikia.
Wale sio mabosi wa wananchi, ni watumishi wa wananchi, na wala hawalipwi mishahara ili wakae ofisini, wanatakiwa kutoka wakasikilize kero za wananchi mitaani.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Simple tu, hivi kama hata hiyo mamlaka ya uteuzi ya IGP inatoka kwa wananchi, kuna mwingine yupi ambaye yupo juu ya wananchi hata wasiweze kumhoji?!Kwahiyo kila mtu ana haki ya kumwita askari ya cheo chochote na kumhoji?
Hujui hao RPC wana mamlaka yao ya uteuzi inayoweza kuwahoji?
Jeshi la polisi halipo chini ya chama chochote cha siasa useme wana uwezo wa kuhojiwa na mwenezi.
Kinachopingwa na MH heche no Hilo jukwa analotumia kuwaita na kuwahoji hao ni watumishi wa uma hawapaswi kuwajibika kisiasa inaleta ukakasi kwani inaonyesha wanatumika kisiasaHebu tuwekee hicho kifungu kinachosema nani wanatakiwa kuwahoji RPC's kutoka kwenye PGO kama unacho.
Mimi ninachoamini, hata Heche binafsi anatakiwa kumhoji RPC popote akiwa na concern inayohitaji majibu toka kwake, tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, Heche ameamua kuipiga teke haki yake hiyo akiamini kwamba, hawezi kuipata kama ambavyo Makonda ameipata.
Hii inasababishwa na siasa za CCM kuingia kwenye jeshi la polisi, lakini tukiweka siasa hizo pembeni, raia wote wa nchi hii ni sawa, hayupo aliye juu ya sheria, hivyo Heche anatakiwa kuipigania haki yake badala ya kumlalamikia Makonda kuitumia haki yake hata kama anatokea CCM.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu mko soft sana, challenge kidogo mnaishia kutoa upepo tu, nimewashawazoea.Nilijua lazima atajitokeza asiye na kichwa kumtetea Makonda kuhoji RPCs Mambo ya upelelezi hadharani.
Tena jeshi letu la polisi linayo orodha ya mawasliano ya makamanda wa wilaya,mikoa na IGP!Simple tu, hivi kama hata hiyo mamlaka ya uteuzi ya hao RPCs inatoka kwa wananchi, ukiondoa huyu aliyepo hivi sasa, kuna mwingine yupi ambaye yupo juu ya wananchi hata wasiweze kumhoji?!
Hapa haijalishi itikadi wala vinginevyo, muhimu mtanzania yeyote akiwa na concern inayomtaka RPC atoe majibu, basi RPC anatakiwa kufanya hivyo bila kujali ameulizwa na nani.
Hivyo basi, hata Heche ana haki ya kumpigia simu RPC akiwa kwenye mikutano yake ya hadhara, na kumuuliza chochote.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nauliza tena "mtumishi wa umma" ni nani?Kinachopingwa na MH heche no Hilo jukwa analotumia kuwaita na kuwahoji hao ni watumishi wa uma hawapaswi kuwajibika kisiasa inaleta ukakasi kwani inaonyesha wanatumika kisiasa
Mara ngapi Heche analitaka na kuhoji jeshi la polisi Kawasaki na kuwakamata watuhumiwa!Kinachopingwa na MH heche no Hilo jukwa analotumia kuwaita na kuwahoji hao ni watumishi wa uma hawapaswi kuwajibika kisiasa inaleta ukakasi kwani inaonyesha wanatumika kisiasa
Sasa wewe ulitaka Makonda amalize shida zote na malalamiko ya wananchi juu ya jeshi la polisi!
Kwanza hajakiuka sheria yeyote kuhoji jeshi la polisi,Pili Makonda ni mwananchi kama Mimi na wewe!
Ila Kinachowafanya muongee sana ujinga hapa ni chuki na hasira yenu ilojaa vifuani mwenu!
Niwakumbushe tu CHADEMA! Neno linasema hasira hukaa Kifuani mwa MPUMBAVU!
Itoshe kusema huelewei hatari ya chama cha siasa kuwa na mamlaka ya kuwahoji au ku influence utendaji kazi wa polisi.Hebu tuwekee hicho kifungu kinachosema nani wanatakiwa kuwahoji RPC's kutoka kwenye PGO kama unacho.