John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

⁴
Umenena,huyo heche ni mtu mmoja mshamba mnoo.akiwa dar anaenda kulala kale kachumba ufipa
 
JF imeshuka hadhi kwa kuruhusu watu wenye misongo ya mawazo kufungua nyuzi.
 
⁴

Umenena,huyo heche ni mtu mmoja mshamba mnoo.akiwa dar anaenda kulala kale kachumba ufipa
Mshamba hasa. Nipo nae jirani hapa Jijini Mwanza Mtaa wa Majengo Mapya Mkolani. Hakuna jirani hata mmoja anayeelewana naye kisa ni Kiongozi wa Chadema. Mzee mmoja akataka kumuwasha vibao kwa kutaka kumdhulumu mawe ya kwenye mpaka baina yao! Ahahahahaha!!
 
Mbona umeandika chuki zisizoeleweka?
We unaelimu Gani mdau?
 
Heche na mambo yake tunamjua wewe ni nani?
 
Mimi ningemuwasha makofi,aende kwa lissu huko,hana adabu kabisa.hata pale sirari anasumbua watu sana,we ngoja siku ajichanganye nimpige makkfi
 
Babu tale ,mwana fa, wasanii wsliojaa humo pamoja na wale wa community ttc wanawafanyeje watt wenu huko
 
Heche ni mtu wa hovyo sana.Alikuwa anagombana sana na walimu wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…