John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Baba yake yule muuza magendo boda ya sirari,
Yaan unapata vistori vya juu juu achana naye endelea kulamba matako ya watu upate kula heche ni chuma kingine wewe fuatilia hata aliesoma kwa heche akaajiriwa akakaa kwenye ajira bahati mbaya humjui bwabwaja tu
 
Dogo mimi sio chawa,wewe huna unalojua unadanganywa na lema na lissu na wenzake utapotea.
Unavoitwa dogo unapowabebea mikoba wanashuka kwenye gari basi unahisi wote dogo kama ulivo na akili ndogo
 
Kwani nyie chadema mnapigania ubepari wa aina gani?
Kitu nkmegundua wewe hauna chochote kiuchumi unategemea sana uchawa mkono uende kinywani, siasa ni mtupu kichwani basi tu umekurupuka. Nakusamehe tu bure
 
U
Umeandika kama mtu aliyeudhuria madrasa tuu shule no
 
 
Dah! Hata kama hatumpendi Heche tujitahidi kujenga hoja zenye ujazo. Kuhusu elimu sijaona alivyounga maana kutoka Bunda TC na Diploma kisha kujiunga Bachelor degree SAUT si ndo utaratibu ulivyo? Kuwa kwenye nafasi aliyopo Heche pia sio jambo dogo. Huko CHADEMA pia kuna vigogo walioitaka hiyo nafasi ila Heche akawazidi kete. Ikumbukwe kwa nafasi ya Heche tayari yuko kwenye INNER CIRCLE YA WANUFAIKA WA RUZUKU NA MICHANGO YA NYUMBU.
 
Mechi za Arsenal si zinachezwa Ulaya. Au sema alitaka apangiwe kazi Uingereza??!!
 
Kitu nkmegundua wewe hauna chochote kiuchumi unategemea sana uchawa mkono uende kinywani, siasa ni mtupu kichwani basi tu umekurupuka. Nakusamehe tu bure
Unanisamehe nimekosa nini nyumbu.
 
Alitaka apangwe mjini,na ushamba wake wa kikurya
No research no right to speak, ungemjua kwanza heche na sababu za kuacha kazi uje hapa sio unakuja na vihadithi kutoka kwa wazaramo juu ya heche😀😀😀 akili huna wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…