John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

Hongera Heche .Ujue Chadema si lelemama .Nakutakia kila jambo zuri na uwapeleke vyema vijana wa Chadema . Nakukumbuka uchaguzi wa Tarime baada ya Mh.Chacha Wangwe kufa akaja kibaraka aliye enda CUF . Ulifanya kazi kubwa . Hongera sana .


Hongera Mwenyekiti Wa vijana wa Chadema...nadhani utaonesha tofauti ya bavicha na hao uvccm katika kuleta hamasa ...ZAIDI WAKAZI WA UKONGA TUNAKUKARIBISHA UJE UCHUKUE JIMBO..LA UKONGA ...Kwani ni kama lipo wazi..hakuna mbunge bali tunalo shati........

John Heche MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA 2015!!
 
Heche ni kuwadi mwingine wa wenye chadema! Nilidhani wangejitahidi kubadlisha image mbaya ya chama chao, lakini inaonyesha uhai wa chadema unategemea zaidi udini ukanda na ukabila!
 
Heche ni kuwadi mwingine wa wenye chadema! Nilidhani wangejitahidi kubadlisha image mbaya ya chama chao, lakini inaonyesha uhai wa chadema unategemea zaidi udini ukanda na ukabila!
mkuu tujaribu kuepuka siasa za maji taka mbona chama.chetu ndio kimekubuhu kwa usultani ama wewe ni mmoja wapo ya wanafamilia za kisultani ndani ya chama chetu
 
Hapana wana haki ya kutoa mchango wao kama vyama vya upinzani.
CCM, CUF, NCCR, UPDP, UDP vyote ni vyama vya upinzani Tanzania. Hadi leo CCM haijaamini kuwa imefanikiwa kuchakachua kura na kujiweka madarakani. Wanaendelea kufanya siasa kama chama cha upinzani.
Polepole watazoea. Dhambi ya kula nyama ya mtu....
 
Mbona illikuwa inatarajiwa hii! Kambi ya wenye kampuni wakina Mbowe inazidi kujiimarisha na Kambi ya wakuja wakina Zitto inazidi kudhoofishwa. HABIB na CHADEMA wapi na wapi! Au ulikuwa huamini kuwa chadema ni chama cha watu fulani? Haya umejionea mwenyee hila zao!
kambi zako peleka huko magamba chadema hakuna kambi, pili wewe kama hutumii akili heche hawezi kuwa mali ya mtu au kufanyiwa maamuzi kama huyu mtoto wako unaemtaja subiri uone Heche atafanya nini iknow the man he is very independent
 
mkuu tujaribu kuepuka siasa za maji taka mbona chama.chetu ndio kimekubuhu kwa usultani ama wewe ni mmoja wapo ya wanafamilia za kisultani ndani ya chama chetu
<br />
<br />
We MAKUPE HUJAFA?
 
Hatimaye CHADEMA tumevuka tanuru jingine la uchaguzi huu.Namshukuru MUNGU sana.Ndugu zangu CHADEMA hivi sasa imekua na kuwa na maadui wengi sana.Tunapigwa na vyama vyote vya siasa iwe chama kilichopo maradarakani au vya upinzani.Uchaguzi huu ulikuwa ni mtihani mwingine kwa chama.Wagombea wengi sana walijitokeza katika nafasi mbalimbali zilizotangazwa.Mwanzoni tulifurahi sana tukijua kuwa chama kimekuwa sana lakini humo humo wagombea ambao hawakuwa na nia njema na CHADEMA walijitokeza.Katika kila nafasii kulikuwa na wagombea ambao hawakuwaserious na lengo la kuitaka nafasi hiyo,wengine walikuwa wapo kwaajili ya kugawa kura,wengine waliomba kwaajili ya kuuza sura na wengine waliomba kwaajili ya maslahi binafsi/maslahi ya watu binafsi na kuna wengine walikuwa wanadhamira njema kabisa ya kutaka kuwatumikia vijana na kukijenga chama kwa maslahi ya chama.Pamoja na kwamba CHADEMA hatuna Kitengo thabiti cha Intelejensia(Kwa maana ya watu wenye Taaluma hii ).lakini kwakuwa chama hiki kina mkono wa MUNGU,MUNGU alitumia njia zake za asili kuwang'amua waliokuwa na nia mbaya.Baadhi yao wakaenguliwa kwa mujibu wa Kanuni na Taratibu za chama na baadhi walishindwa kwenye sanduku la kura. Binafsi nilikuwa naziangalia nafasi nyeti ili zipate viongozi wazuri wenye nia nzuri ya kujenga chama na waliogombea kwa ridhaa zao sio kwa kuwekwa au kushawishiwa na watu fulani.
Nafasi ya Uenyekiti nimefurahi ameshinda John Heche na ndio alikuwa chaguo langu tangu mwanzo 2009.Heche ana misimamo anaweza kusimamia misimamo yake na anamalengo mazuri na BAVICHA.Amegombea kwa ridhaa yake. HONGERA chalii Heche.
Nasubiri kuona tunapata Katibu Mkuu , Mwekahazina na Mratibu wa Uhamasishaji wazuri kwa maslahi ya chama.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke.
 
Heche ni kuwadi mwingine wa wenye chadema! Nilidhani wangejitahidi kubadlisha image mbaya ya chama chao, lakini inaonyesha uhai wa chadema unategemea zaidi udini ukanda na ukabila!
tumia akili yako binafsi usitumie akili ya mavi, una maana gani kusema ukanda? ukabila? heche ananatoka kanda ya ziwa, heche ni mkurya sasa unaposema ukanda na ukabila unamaanisha nini na udini maana yake nini? hatuwezi kuwa na kiongozi kwa misingi ya dinin kabila wa ukanda.
 
Nimpongeze heche.binafsi simfahamu lakini nasikia habari zake.lisemwalo lipo.watu wamemuamini.asiwaangushe!
 
Back
Top Bottom