Higash
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 842
- 152
Mtu mdogo kwenye chama kidogo.
kidogo ila kimekukuleta hapa jf kutetea magamba yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mdogo kwenye chama kidogo.
sidhani kama anauwezo kama Benno Malisa wa Uvccm
sidhani kama anauwezo kama Benno Malisa wa Uvccm
Hongera Heche .Ujue Chadema si lelemama .Nakutakia kila jambo zuri na uwapeleke vyema vijana wa Chadema . Nakukumbuka uchaguzi wa Tarime baada ya Mh.Chacha Wangwe kufa akaja kibaraka aliye enda CUF . Ulifanya kazi kubwa . Hongera sana .
sidhani kama anauwezo kama Benno Malisa wa Uvccm
Hana uwezo wa kuchumia tumbo kama Malisa. Ulijuaje Makupa?
mkuu tujaribu kuepuka siasa za maji taka mbona chama.chetu ndio kimekubuhu kwa usultani ama wewe ni mmoja wapo ya wanafamilia za kisultani ndani ya chama chetuHeche ni kuwadi mwingine wa wenye chadema! Nilidhani wangejitahidi kubadlisha image mbaya ya chama chao, lakini inaonyesha uhai wa chadema unategemea zaidi udini ukanda na ukabila!
kambi zako peleka huko magamba chadema hakuna kambi, pili wewe kama hutumii akili heche hawezi kuwa mali ya mtu au kufanyiwa maamuzi kama huyu mtoto wako unaemtaja subiri uone Heche atafanya nini iknow the man he is very independentMbona illikuwa inatarajiwa hii! Kambi ya wenye kampuni wakina Mbowe inazidi kujiimarisha na Kambi ya wakuja wakina Zitto inazidi kudhoofishwa. HABIB na CHADEMA wapi na wapi! Au ulikuwa huamini kuwa chadema ni chama cha watu fulani? Haya umejionea mwenyee hila zao!
<br />mkuu tujaribu kuepuka siasa za maji taka mbona chama.chetu ndio kimekubuhu kwa usultani ama wewe ni mmoja wapo ya wanafamilia za kisultani ndani ya chama chetu
tumia akili yako binafsi usitumie akili ya mavi, una maana gani kusema ukanda? ukabila? heche ananatoka kanda ya ziwa, heche ni mkurya sasa unaposema ukanda na ukabila unamaanisha nini na udini maana yake nini? hatuwezi kuwa na kiongozi kwa misingi ya dinin kabila wa ukanda.Heche ni kuwadi mwingine wa wenye chadema! Nilidhani wangejitahidi kubadlisha image mbaya ya chama chao, lakini inaonyesha uhai wa chadema unategemea zaidi udini ukanda na ukabila!