Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Mbona huongelei polisi wanaotumika kisiasa kukibeba chama tawala, wakati huohuo wakiteka, kuumiza na kusingizia watu kesi za uongo?.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwahiyo unamtisha nani?Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Majukumu ya kuzuia raia huru wa Tanzania kusafiri kwenye nchi yaoOCD, aliyedhalilidhwa anastahili kufungua mashtaka mahakamani, kwa kesi ya udhalilishaji mbele ya umma akiwa anatekeleza wajibu wake na kuidai fidia chadema ya billion 5.
Yes,Yuko vizuri, tena angeomba mechi mtu mbili! Uonevu tu!
Ni kweli. Kwani hili jeshi ni la nani? Tumshkuru mheshimwa rais daktari profesa SSH kwa kuzuia vurugu japo kwa vurugu ili kudumisha amani tena kwa kuivunja kinamna.Acha kumdhalilisha Rais wewe
Kwamba ndo ameamuru Heche asiingie mjini ?
Acha kudanganya wananchi kwa uongo dogo, ethics haina mwisho ktk matumizi.Neno Ethics unalielewa lakini?
Machizi lazima wajibiwe kichizi lugha mtakaoelewana. hata Nyerere alitumia falsafa hii kudili na machizi kama Idd AminiKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Umeandika kama vile unanijibu.Acha kudanganya wananchi kwa uongo dogo, ethics haina mwisho ktk matumizi.
Kuongea kwa ukali haiwezi kukufanya usiwe na hekima ya kiungozi!.
Tunao mifano ya viongozi wababe kabla na baada ya kuwa kiongozi na wapo good tu.
Ethics inapply kila sehemu iwe umesoma au hujasoma lazima utakutana na muongozo wa eneo unalokuwepo kiutendaji nk.
Mbona magu lugha yake ilizidi hii, na bado mnamlilia!Halafu ndio wanataka kuongoza watanzania hawa? Hapana aisee sio kwa hasira hizi, unaweza kufkuzwa hata mkoa unaoishi au hata inchi kabisa
πππππ€£π€£π€£π€£π€£
Kuna sehemu kichwani mwako inaupofu...Tunahitaji watu majasiri kama kina Heche na Lissu,tungewapata watu kama hawa kila mkoa angalau 50K,tungeshabadilisha uongozi wa nchi hii,
Hivi magu alitukana watu?Mbona magu lugha yake ilizidi hii, na bado mnamlilia!
Bora bwatu lakini wasiouza bandari na mbuga za wanyamaKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Fyoko fyoko si tusi huko kwenu? Lugha chafu huzijui? Kumbuka akitoka msibani kwa Mkapa njani maneno kuhusu choo!Hivi magu alitukana watu?
Jiheshimu basi kidogo ndugu yanguKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Mshono wa maako aliyekuzaa!! Nyoko!!Kweli anapiga kwenye mshono sana