Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Vijana wana ari kubwa n.a. safari hiyo hawatokubali tena kufa kibwege, Vifo vitakuwa vya pande zoteKiukweli kwa kinachoendelea dhidi ya Tundu Lissu, kuna kitu kinatakiwa kifanyike.
Serikali kama bado haijajua sababu na athari kwake ya Oktoba 29, basi serikali haina watu wenye akili. 😁
Mimi nilifikiri yale ya Oktoba 29 yaliwafundisha kitu flani, kumbe bado. 😁
Vijana wana ari kubwa n.a. safari hiyo hawatokubali tena kufa kibwege, Vifo vitakuwa vya pande zote
Inatakiwa sasa hiyo "ari" ionekane.Vijana wana ari kubwa n.a. safari hiyo hawatokubali tena kufa kibwege, Vifo vitakuwa vya pande zote
SafiMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
itiza kuwa hawawezi kuendelea kukaa kimya wakati kiongozi wao akiteseka gerezani kwa mwaka mzima, akiamini kuwa ni lazima nchi itikisike ili haki itendeke.
Aseme ni tarehe ngapi maandamano, tujiandae kununua vyakulaMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika chini kwa chini umekwisha na sasa ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti za kitaifa.
Kiongozi huyo amewataka vijana wanaodai kuunga mkono harakati hizo kuacha kusemea pembeni, badala yake waanzishe kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii na mitaani.
Ameelekeza kuandikwa na kubandikwa kwa vipeperushi kila kona ya mtaa ili kuonyesha mshikamano kwa Lissu ambaye amekaa ndani kwa mwaka mzima kwa tuhuma za uhaini. Jambo hili John Heche ameliita kuwa ni kumvua haki kiongozi huyo aliyekuwa akiwapigania wananchi bila kuwa na hatia yoyote.
John Heche amebainisha kuwa kampeni hiyo inalenga kumpa Lissu nguvu na imani kuwa watu anaowapigania ni sahihi na wako naye. Hata hivyo, ametoa onyo kali kuwa iwapo sauti yao haitasikilizwa kupitia kampeni hiyo, basi CHADEMA wataanzisha maandamano makubwa nchi nzima. Amesisitiza kuwa hawawezi kuendelea kukaa kimya wakati kiongozi wao akiteseka gerezani kwa mwaka mzima, akiamini kuwa ni lazima nchi itikisike ili haki itendeke.
Huo utafiti umeufanyia wapi wewe kibwengo?Tayari kauli hiyo kabambe imeungwa mkono Nchi nzima
Siyo peke yako.Kila nikikumbuka kuhusu TUNDULISSU moyo wangu unalipuka! nahisi sijamtendea haki huyu mwamba!!!
Kwanini ashikiliwe mpaka leo na hajafanya kosa lolote?!!hii inakera sana!
Serikali haijapata somo kwa yaliyotokea Oktoba 29.
NimekuelewaInatakiwa sasa hiyo "ari" ionekane.
Hilo kundi ndani ya chama hicho, kama lipo, limepoa sana wakati huu. Heri hata lile la wanawake. Wamepigwa mabomu ya machozi; lakini wameonyesha kuwa wapo.
Humu JF ni kama hao vijana wanawaogopa sana akina Mshamba na vilaza wengine waliokuja humu kuvuruga mijadala.
Kuna tatizo; pengine linalotokana na uongozi wa kundi hilo, au msukumo ndani ya chama kulisimamia na kuwa mbele ya chama chao.
Wewe tazama mada kama hii inakosa uchangiaji wa kutosha. Kuna tatizo gani?
Nimefurahishwa kuitwa kibwengoHuo utafiti umeufanyia wapi wewe kibwengo?
Wananchi wenye nchiMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Kiungo muhimu wa chama na JF umebaki wewe na hawa wachache wanaoweka maswala ya chama na viongozi wao; kama huyu 'Waufukweni'.Nimekuelewa
Huyu akaungwe na lisuMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.