John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru

Sasa mbona yanakutia kiherehere sana haya maandamano ya 'keyboard'?
Tatizo kuna watoto wa watu wanakusikiza wanakuamini kumbe unawaingiza mkenge wakati wewe siku hiyo utakuwa reporter tu nyuma ya keyboard
 
Heche sio mtu wa vitendo unatishia nini , tangaza maandamano moja kwa moja wahuni ukiwapa head ups wanakula KICHWA utajikuta mko jela wote
 
We kweli ni mwoga. Umekszania eti vitisho. Maneno madogo tu haya ya mtandaoni tayr ushagwaya eti vitisho!!
We ndo wa kuingia road kweli. Baki tu nyuma ya keyboard
hayo maneno madogo unamwekea nani na kwa faida zipi.
Nimekwambia haisaidii chochote tena, Samia ni mhalifu na atafanyizwa kinachomstahili mhalifu bila ya kujali vitisho.vya aina yoyote.
Hakuna jambazi aliyedumu bila ya kuwajibishwa; hilo ndilo linalomsubiri Samia.
 
Tatizo kuna watoto wa watu wanakusikiza wanakuamini kumbe unawaingiza mkenge wakati wewe siku hiyo utakuwa reporter tu nyuma ya keyboard
Hao ndio waTanzania watakaowakabili washenzi nyie, mnaojifanya kuwafanya waTanzania mateka.
 
hayo maneno madogo unamwekea nani na kwa faida zipi.
Nimekwambia haisaidii chochote tena, Samia ni mhalifu na atafanyizwa kinachomstahili mhalifu bila ya kujali vitisho.vya aina yoyote.
Hakuna jambazi aliyedumu bila ya kuwajibishwa; hilo ndilo linalomsubiri Samia.
Keyboard worrier.
Unavyopigwa mkwara ungekuwa na field unaingia ungeshaikomboa Tz
 
Hao ndio waTanzania watakaowakabili washenzi nyie, mnaojifanya kuwafanya waTanzania mateka.
Hapo sasa umeanza kuusema ukweli. Mean wewe huna ujasiri wa kuwakabili hao washenzi ila umejitega ukitegemea watoto wa wengine ndo watoke
 
Keyboard worrier.
Unavyopigwa mkwara ungekuwa na field unaingia ungeshaikomboa Tz
Hizi bangi kichwani haziwezi kumsaidia Samia kwa lolote.
Ni hasara tupu kutegemea watu kama wewe kumpigania juu ya uovu wake.
 
Unajuwa vipi kuwa sikutoka.
Na hata kama sikutoka; kazi ya kuwashughulisha wapuuzi nyie siyo ya "kutoka" pekee; lakini ulivyo nguruwe wewe huwezi kulijuwa hilo.
Vipi wewe hukupigwa ya kichwa kama kweli ulishiriki?
 
Nipo hapa kukufahamisha kuwa hiyo damu aliyomwaga Samia haitamwacha hadi aingie kaburini.
Nyinyi nguruwe wake mkumbusheni hilo mnapolilia masalia ya chakula anachowatupia zizini kwenu.
 
Wewe kaa huko kwa mabeberu waendelee kukushughulikia mpaka ujifungue mjusi.🤣
 
Back
Top Bottom