Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Chama kimetoa hadi majina saba. Ukiacha Mpina, wengine waliotoswa ni hawafai.
Unazungumziaje kuhusu unafiki na uwoga kama alivyosema mzee Butiku?Hii ndio comment nilikuwa naitafuta. Chadema wanatakiwa kujenga vijana wazalendo wanaojua sheria na sio shari.
Vijana wenye mtazamo wa utulivu lakini ambao ni wabishi na wafanya maamuzi sampuli za akina Martin Luther king Jr.
Vijana wanatakiwa wasome sheria za inchi na kujieleza kwa kwa kuzijua lakini pia wajue madhaifu ya hizo sheria. Na ndani ya Chadema kuwa na shuffling ya uongozi kusiwe na sura zile zile kwenye uongozi miaka yote.
Wajitahidi pia hawa vijana wasiwe ni wahuni wawe wachapa kazi na wanaojua kujituma.
Kama Heche hawaamini wakina Suzan Kiwanga lakini anawaamini waliokataliwa kuiwakilisha CCM basi kutakuwa na tatizo tusilolijua.Heche anawaamini hao watu? Yaani kama Heche awaamini waliokatwa atakuwa ni mjinga namba moja
Mengine umeandika kama haupo nchini ndg mtanzania?Hii ndio comment nilikuwa naitafuta. Chadema wanatakiwa kujenga vijana wazalendo wanaojua sheria na sio shari.
Vijana wenye mtazamo wa utulivu lakini ambao ni wabishi na wafanya maamuzi sampuli za akina Martin Luther king Jr.
Vijana wanatakiwa wasome sheria za inchi na kujieleza kwa kwa kuzijua lakini pia wajue madhaifu ya hizo sheria. Na ndani ya Chadema kuwa na shuffling ya uongozi kusiwe na sura zile zile kwenye uongozi miaka yote.
Wajitahidi pia hawa vijana wasiwe ni wahuni wawe wachapa kazi na wanaojua kujituma.
Hivi Heche ni Mwenyekiti wa Chadema au mimi nimeona tofauti?!uhaini
Ata anayeamini hayo maneno ya heche kua amepigiwa simu naye atakua mjinga vile vile.Hapo ni propaganda tu kaamua kuipiga kistaili.Heche anawaamini hao watu? Yaani kama Heche awaamini waliokatwa atakuwa ni mjinga namba moja
Chadema waache kuendeleza ujinga kila mwaka wa uchaguziMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.
Akizungumza nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2025 mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, Heche amesema:
“Tupiganie haki kwa sababu hakuna aliye salama. Jana kuna watu wa CCM wamenipigia wanasema, ‘kwanini hampeleki chama kwenye uchaguzi, sisi tungekimbia kuja huku’. Hawa walikuwa kwenye utawala, lakini sasa wameonja maumivu, ndiyo wanajua kwamba CHADEMA ndiyo chombo cha kuwasaidia.”
Heche amesisitiza kuwa chama chao kitaendelea kupigania haki na kusimama na Tundu Lissu, akibainisha kuwa licha ya Lissu kuwa na haki ya kuwa huru, bado kuna mazingira yanayozuia maamuzi huru kufanyika mahakamani.
Video: Jambo TV
Waache unafiki, siku zote chadema wanateseka walikuwa wapi, kama wana nia mjema ,waunge juhudi kupigania mageuzi.
Haahaa yaleyale ya kina ester bulaya, usajiri wa muda..
Unamjua sativa?Matusi gani CHADEMA Huwa wanatukana?
Na Kwa akili hii unaamini ni haki yako kutotukanwa.
Anaamini hicho walichoongea? hao ni wanafiki tu wangepitishwa wangegundua? Hao wanataka tu kuitumia CDM kwa maslahi yaoHajasema kwamba anawaamini. Msisitizo wake ni namna hao watu walivyogundua kuwa ni kweli CCM haitendi haki. Period!
FACT,AWATAJEAta anayeamini hayo maneno ya heche kua amepigiwa simu naye atakua mjinga vile vile.Hapo ni propaganda tu kaamua kuipiga kistaili.
Bwashee huo uenyekiti ameupata liniMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche
Akina January MakambaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.