John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza .

Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k

Huu ndio msingi wa mapinduzi ya serikali yoyote ile duniani.

Nilikuwa najisomea kitabu hapa home.
 
Kazi kwelikweli, tutafika tumechoka sana kama taifa.
 
John lock (philosopher) alijika katik misingi haki asili (natural right).
Na jukumu kubwa la serikali ni kulinda hizo haki -:
- Binadamu wote huzaliwa wakiwa na haki za asili (natural rights)ambazo ni:
1. Haki ya uhai (life)
2. Haki ya uhuru (liberty-freedom of speach)
3. Haki ya kumiliki mali (property)
Kwa ufupi:
😐🤔John Lock Alisisitiza kuwa serikali ipo kulinda haki hizi, na wananchi wana haki ya kuiondoa serikali ikizivunja.

NB: kumbuka kwenye constitution kuna article 13 (ninavyokumbuku) kuna qualified Guarantee (8) na absolute guarantee (5)
Napia kuna kitu kinaitwa (clawback Clause -sijui kilitolew 2005 au bado kipo hapo ndio kuna kamchezo ndio maana Chademu wakaforce (constitution reform ili waunde katba ambayo kwenye bill of rights itakuw absolute 100%
 
Back
Top Bottom