John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

Offcoz na Yule Bibi huwa nilimweka kwenye kati ya wazarendo niliposikia mchango wake wa kuuma na kupuliza nilimng'oa faster
 
Mzee kasema ukweli! Wengi wanasumbuliwa na chuki, wivu na udini tu. Hawana hoja kabisa wachache makuwadi wa wakenya wanaotaka bandari zetu zisiwe vizuri
Mwana-Dawati la Propaganda la "wa Kijitonyama Makumbusho", hongera zako kwa kazi ngumu uliyopewa ya "kupaka rangi upepo" ili ku-divert attention za raia ili kumlinda sponsor wenu na makombora mazito ya DPW.

Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:ChoiceVariable
 
Achaneni naye huyu mzee na wala asiwaumize vichwa kwa sababu hata wahuni, wajinga na wapumbavu nao huwa wanazeeka.
 
Kuna watu watanuna hapaa, wanatamani waivamie ofisi ya jf na kuivunja vunja. Nia njema hujionyesha tu yenyewe bila hata makelele meeengi. Walinda legacy na mashetani wengine waovu wanaokesha kutukana na kuzusha humu watashindwa tu.
 

 
Huyu Athumani tunamjua mbona.

Its no suprize.

Hata yeye alichukua hela huko huko.
 
Kama aliweza kuendelea na jina la John huku ameshabadilisha na kuitwa Jumanne kisirisiri ili agombee uraisi ataaminiwa na Nani? Hivi lini akaaminika kama Mzee wa mfano nchi hii? Jambo kubwa alilolifanya baada ya kumaliza Muda wake serikalini ni pale alipotumwa kwenda kumkazimisha Ndugai ajiuzulu.
 
Haya sasa kuna uzi humu kuna mtu alikuwa anamulizia mzee malecela,mbona yuko kimya sakata la
Bandari [emoji1] haya kawajibu!
Any way,huyu mzee nlimshqmangaa
Kwann alitoa kiwanda cha kusindika
Zabibu huko dodoma na akahihamishia mbeya mpaka leo sijapata,majibu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…