John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

Nitawashangaa CHADEMA wakiingilia mabishano kati ya wana CCM asili na wahamiaji.
 
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
HALAFU CHA AJABU ETI NA WEWE ULIWAHI KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA. MUNGU WANGU! UNAELEWA MAANA YA DISPATCH? UNAYEPELEKA BARUA NDIYE UNAKUWA NA HIYO DISPATCH SIYO ANAYEPOKEA WALA OFISI YAKE. DISPATCH NI YA MPELEKAJI WEWE MBUMBUMBU. SIJUI CCM HUWA INAWAFANYAJE NYIE WATU. AU BADO MNA HANG OVERS ZA MWENDAZAKE?
 
Mimi nawalaumu Chadema katika hili, wanashindwa nini kuweka hadharani barua ya chama kuwafukuza hawa kikatiba ya chama chao kwa kufuata kanuni na sheria zao tena iwe live conf maana karatasi unaweza kusema fake wamekaa kimyaa tu mimi nadhani wako Chadema nao wanahusika na ujinga huu, mengine wepesi kuongea lakini hili utasema hawapo.
 
Endelea tu kuwalaumu ila CDM walishafanya kila kitu kiliisha
 
Ushahidi kutoka Chadema kuhusu kumjulisha Ndugai huu hapa Mkuu.


 
Bunge la Tanzania livunjwe au Spika na naibu wake watimuliwe
Hicho ki despatch hakina muhuri mtu yoyote anaweza kupokea
Afadhali hata angetuambia katuma kwa email rasmi ya spika kidogo tungeelewa,mfumo wa despatch ni wa kizamani sana
Sasa tangazo la kufukuzwa lilitoka kwenye public. Siasa za hovyo hizo ndizo zimetufikisha hapa tulipo Kama nchi. Muhimili uliopaswa kutetea Democrasia, ndio uliobaka. Lakn ukweli unajitenga na uongo.
 
Kama mwenyekiti Mbowe anaweza kuanguka kwa ulevi wa konyagi alafu akatangaza kwamba amepigwa na wasiojulikana unategemea nini?

Chama kimejaaa laana ya uongo kutoka juu hadi chini.
ebwana yaani inaonesha jinsi gani miatano ilikuwa mhimu kuwepo kondomu inunuliwe bao liishie kwenye ndomu kuliko organism aliyepatikana
 
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
Hivi anayesaini dispatch ni Mleta mzigo/barua au mpokeaji!? Na dispatch huwa ni ya nani mtumaji mzigo/barua au mpokeaji

Binafsi najua anasaini dispatch ni anayepokea barua. Wewe kutaka kuwe na dispatch ya bunge, kwani barua ni ya bunge kwenda kwa CDM!?
 
Hiyo hapo
 
Sasa tangazo la kufukuzwa lilitoka kwenye public. Siasa za hovyo hizo ndizo zimetufikisha hapa tulipo Kama nchi. Muhimili uliopaswa kutetea Democrasia, ndio uliobaka. Lakn ukweli unajitenga na uongo.
Kama ambavyo wengine walivyokuwa wanatumbuliwa
 
Ushaid wa barua kutoka chadema umesha wasulishwa na wabunge wenyew wa covid19 wanakili kufukuzwa sasa icho anachokifanya uyo naibu spika ni kutuona km amunazo wew endelea kudemka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…