John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020
View attachment 1761491
View attachment 1761492View attachment 1761493
Chanzo:John Mnyika on twitter.
Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako
Salary slip, as whatever you may address yourself

Is this the reliable and credible evidence to adduce that substantiate that the 19 enlisted names were made known to the parliament to have been stripped of membership of a political party as such in accordance with the constitution they had lost status as being MPs as well?

Is the embedded dispatch book and letter from CDM chief secretary received by the parliament?

If the letter was processed by the CDM chief secretary and duly served to the legislative pillar authority why wasn't acknowledged receipt by either being signed off or stamped to confirm it was correctly delivered?

If those stripped off from being CDM members and had been served with the official letters from their chief secreatry narrating the deliberation reasons to deregister them why did they consent to join the parliament session knowingly they were violating both the CDM code of conduct as well as the constitution of the United Republic of Tanzania?

If knowingly they had knowledge that they lost the status but still stiffened their necks and pocketed remarkable taxpayers funds for personal gain, why doesn't the Republic charge them with economic sabotage crimes?

If the parliament knoingly had received notification from the sponsoring poiltical party that they 19 named speacial seat MPs had lost status attending the parliament session representing unknown entity and community why does it persist embracing that non-cementing mortar representing the nation's interests?

Was there any duress or cohesion influence that appealed the seemingly illegitimate special seats beneficiries to iaccept teh offer in return for what and why?

Why can't these the victimized illegitimate special seats beneficiaries resign from attendeng the Bunge session to uphol their moral ethics and shame away those who influenced them with malicious intent?

The procedures were compromised by both the legislative pillar and the illegitimate special seats beneficiries thereby the latter are liable of the blackmailed actions.

Who should be trusted between the CDM party, constitution, parliament, citizen and the beneficiaries of the illegitimate special seat incumbents?
 
unatakiwa uwe na kiwango cha juu zaidi cha ujinga ili kuamini hilo analosema Mh speaker nisahihi.
 
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
.
Acha uchoko we mrombo...ambacho huelewi hapo nini.....Kama huelewi vitu usipinge Tu...ulizia...
 
Kwa akili zako fupi, hiyo dispatch mtu hawezi kufoji? Yaani kitu gani kimekuthibitishia kwamba hiyo barua ilipokelewa Bunge? Mbona hajasema nani kasaini kupokea, aone kama hakuburuzwa mahakamani.
Spika Ndugai alishasema kuwa amepata barua, Ila hakuridhika na sababu, za hao Uviko 19 kuvuliwa ubunge, jaribu kula samaki kwa wingi Ili kuboresha afya ya kumbukumbu zako. [emoji120][emoji120]
 
Leo nimeangalia kipindi cha Bunge na kushangazwa na hoja ya Kishoa kuhusu uhalali ama uharamu wa ubunge wao!

Mbunge Kishoa alikuwa akitetea hoja ya Chadema kuzuiliwa kufanya mikutano yao.

Katika kutetea hoja, kajikwaa ulimi na kusema: 'kabla sijafukuzwa Chadema'..... hapo ndipo tatizo lilipoanzia na ndipo nilipoona tatizo.

Naibu spika Tulia akamwambia kuwa atengue kauli yake hiyo ya kufukuzwa, kwa sababu kanuni zilizopo haziruhusu mbunge kutokuwa ama kutotokea kwenye chama chochote cha siasa, mbunge Kishoa akatengua kauli na kuthibitisha kuwa hajafukuzwa uanachama.

Maswali yafuatayo yakajitokeza kichwani mwangu haraja haraka: je ni kweli hawajafukuzwa uanachama officially?

Kama walifukuzwa, je chama hakijapeleka nakala ya barua ya hatua hiyo kwa spika?

Je kama walifukuzwa uanachama, kwa nini wanaendelea kukitetea chama kilichokwisha wafukuza?

Je kama madai ya naibu spika yakawa na ukweli kuwa hawajapata barua ya kufuzwa uanachama wabunge hao, kwanini Chadema wasiandike tena barua rejea ya ku confirm hatua yao hiyo na kwenda kuikabidhi kiofisi?

Ninaomba kufahamishwa juu ya 'kakaenda kakarudi' na mustakabali wa seke seke hili la hawa wabunge 'Covid-19'.
 
Salary slip, as whatever you may address yourself

Is this the reliable and credible evidence to adduce that substantiate that the 19 enlisted names were made known to the parliament to have been stripped of membership of a political party as such in accordance with the constitution they had lost status as being MPs as well?

Is the embedded dispatch book and letter from CDM chief secretary received by the parliament?

If the letter was processed by the CDM chief secretary and duly served to the legislative pillar authority why wasn't acknowledged receipt by either being signed off or stamped to confirm it was correctly delivered?

If those stripped off from being CDM members and had been served with the official letters from their chief secreatry narrating the deliberation reasons to deregister them why did they consent to join the parliament session knowingly they were violating both the CDM code of conduct as well as the constitution of the United Republic of Tanzania?

If knowingly they had knowledge that they lost the status but still stiffened their necks and pocketed remarkable taxpayers funds for personal gain, why doesn't the Republic charge them with economic sabotage crimes?

If the parliament knoingly had received notification from the sponsoring poiltical party that they 19 named speacial seat MPs had lost status attending the parliament session representing unknown entity and community why does it persist embracing that non-cementing mortar representing the nation's interests?

Was there any duress or cohesion influence that appealed the seemingly illegitimate special seats beneficiries to iaccept teh offer in return for what and why?

Why can't these the victimized illegitimate special seats beneficiaries resign from attendeng the Bunge session to uphol their moral ethics and shame away those who influenced them with malicious intent?

The procedures were compromised by both the legislative pillar and the illegitimate special seats beneficiries thereby the latter are liable of the blackmailed actions.

Who should be trusted between the CDM party, constitution, parliament, citizen and the beneficiaries of the illegitimate special seat incumbents?
Hivi wewe bunge la Ndugai hulijui au unataka kutusumbua tu hapa , ni kipi hukijui kuhusu hao covid 19 , mtu katolewa jela kwenda kuapishwa na siyo kwamba kaachiliwa mahakamani , we uliona wapi upuuzi kama huo ? pamoja na ubatili huu bado unauliza tu maswali yasiyo na msingi ?

Labda nikuambie tu Magufuli alivuruga uchaguzi kuanzia kwenye fomu tu , we fikiria mpaka leo rufaa ya yule mama wa Mlimba aliyeondolewa ili njuka Kunambi awe mbunge bado haijatolewa majibu na Tume ya uchaguzi , haya ndio maagizo ya mwendazake , unatarajia nyaraka za bunge ziweje katika hali hii ?
 
20210423_17021671126.jpg

Taarifa ya Naibu Spika

20210423_170244182275.jpg

My Take
Kwa lugha rahisi Mheshimiwa Spika ni muongo
 
Kama mwenyekiti Mbowe anaweza kuanguka kwa ulevi wa konyagi alafu akatangaza kwamba amepigwa na wasiojulikana unategemea nini?

Chama kimejaaa laana ya uongo kutoka juu hadi chini.
Kama sisi tuna laana wakwetu hawafi, wakwenu kila uchao wanadondoka Kama matunda yaliyoozea mtini, sasa na hili ya covid 19mkishupaa shingo tutafika mkubwa mwingine soon. Endeleeni na kiburi cha uzima.
 
Leo nimeangalia kipindi cha Bunge na kushangazwa na hoja ya Kishoa kuhusu uhalali ama uharamu wa ubunge wao!

Mbunge Kishoa alikuwa akitetea hoja ya Chadema kuzuiliwa kufanya mikutano yao.

Katika kutetea hoja, kajikwaa ulimi na kusema: 'kabla sijafukuzwa Chadema'..... hapo ndipo tatizo lilipoanzia na ndipo nilipoona tatizo.

Naibu spika Tulia akamwambia kuwa atengue kauli yake hiyo ya kufukuzwa, kwa sababu kanuni zilizopo haziruhusu mbunge kutokuwa ama kutotokea kwenye chama chochote cha siasa, mbunge Kishoa akatengua kauli na kuthibitisha kuwa hajafukuzwa uanachama.

Maswali yafuatayo yakajitokeza kichwani mwangu haraja haraka: je ni kweli hawajafukuzwa uanachama officially?

Kama walifukuzwa, je chama hakijapeleka nakala ya barua ya hatua hiyo kwa spika?

Je kama walifukuzwa uanachama, kwa nini wanaendelea kukitetea chama kilichokwisha wafukuza?

Je kama madai ya naibu spika yakawa na ukweli kuwa hawajapata barua ya kufuzwa uanachama wabunge hao, kwanini Chadema wasiandike tena barua rejea ya ku confirm hatua yao hiyo na kwenda kuikabidhi kiofisi?

Ninaomba kufahamishwa juu ya 'kakaenda kakarudi' na mustakabali wa seke seke hili la hawa wabunge 'Covid-19'.
Bunge lina taarifa kamili juu ya hao covid 19 na linajua kila kitu tangu kuwateua mpaka kuwaapisha na hatimaye kuwalinda
Kwasasa CHADEMA walishalizana nao hayo yanayotokea huko bungeni ni ya kwao wenyewe CHADEMA haiwezi kuingilia
 
Back
Top Bottom