John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Bashiru ana kitu gani special? Zaidi ya kutundika vyeti vyake ukutani na kuongea pumba? Mtu asiye jua ekimu ya Bashiru anaweza dhani hajaenda hata darasa moja.. Mnyika ni mashine
Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unavyojua kuokoteza kiboko
 
Hongera wana Kaskazini kwa kupata viongozi.

1. Freemanq Mbowe - Kilimanjaro
2. John Mnyika - Mwanza
3. Benson Kigaila - Dodoma
4. Salim Mwalimu - Zanzibar

That is as diverse as it can get. CHADEMA are smart, and we should not spin the truth in anyone's favor. Fact is just a FACT!
 
Mkuu unavyojua kuokoteza kiboko
Time will tell na miongoni mwa vitu vizuri sana mimi nilivyo jaaliwa ni kumbukumbu!. Nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao nursery kwa majina mawili mawili, hivyo when times comes nitakukumbusha.

Au nikukumbushe ni lini nilisema humu Lowassa atakuja Chadema, its only Ben Saanane ndio alinotice na kunitumia PM.

Subiria nitakukumbusha tuu.
P
 
Kama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Wewe umefanya nini hata kwa familia yako tu..
 
Chadema kuna virus vingi sana,kuna mmoja yaani wanamwamini sana lakini ni kada na mtumwa wa Mapinduzi..Wajaribu kuwachunguza hawa jamaa haswa wa Kanda ya Ziwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
Wewe ulitaka achagulie nan?manake unazunguka zunguka maelezo tu hapa!Be straight,acha propaganda.
 
Tatizo la kaka Mnyika mpole sana yule bwana, amepoa. Japo ana hekima sana yule, inatakiwa watu ngangari sana.
 
Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Dr Bashiru usimlinganishe na vitu vya maana hata kidogo. Humjui nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…