SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo mhutu wenu ana nini cha zaidi?Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mhutu wenu ana nini cha zaidi?Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Tena PhD zenyewe za jalalani, balaa ya kutoa mimacho tu kama bundi.Ana experience ya kutosha, tumeridhika nae. Hapo mwanzo alikaimu sasa amekabidhiwa mikoba na ana uhuru wa kufanya maamuzi.
Hatuhitaji PhD holders.
Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Labda kama imepanda ,rejea alipokuwa analipwa Dr.slaa hata mashinji ,hata Uzi humu upoUna uhakika na unachokisema?
Mkuu unavyojua kuokoteza kibokoMkuu Molemo, kwanza ni lazima Chadema mkubali kwenye mambo ya iteligensia nyingi Chadema ni zero, totally empty kabisa! na amini nakuambia kuna watu ambao mko ndani ya box la inside Chadema hamna uwezo wa kuona outside the box.
Niliwashauri baada ya Heche Bavicha mchukueni Ben Saanane ni jembe kweli, siku ile mnamchagua Petrobras nikawaeleza humu mnamchaguaje mwajiriwa wa Diallo ambaye ni kada wa CCM?.
Wakati mambo yenu ya ndani yana leak humu jf, April 6 2013, nilipandisha bandiko hili
CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Wanabodi, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!. Jee unakijua kirusi hicho ni nani?, na nini ni motive yake "the motive behind"?!. Kufuatia uzoefu wangu binafsi...www.jamiiforums.com
How long did it take kwa nyinyi kukibaini hicho kirusi?.
P
Hongera wana Kaskazini kwa kupata viongozi.
Time will tell na miongoni mwa vitu vizuri sana mimi nilivyo jaaliwa ni kumbukumbu!. Nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao nursery kwa majina mawili mawili, hivyo when times comes nitakukumbusha.Mkuu unavyojua kuokoteza kiboko
Jenga hoja ndugu, usimshambulie pascal MayalaMkuu unavyojua kuokoteza kiboko
Wewe umefanya nini hata kwa familia yako tu..Kama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Chadema kuna virus vingi sana,kuna mmoja yaani wanamwamini sana lakini ni kada na mtumwa wa Mapinduzi..Wajaribu kuwachunguza hawa jamaa haswa wa Kanda ya Ziwa..Mkuu Molemo, kwanza ni lazima Chadema mkubali kwenye mambo ya iteligensia nyingi Chadema ni zero, totally empty kabisa! na amini nakuambia kuna watu ambao mko ndani ya box la inside Chadema hamna uwezo wa kuona outside the box.
Niliwashauri baada ya Heche Bavicha mchukueni Ben Saanane ni jembe kweli, siku ile mnamchagua Petrobras nikawaeleza humu mnamchaguaje mwajiriwa wa Diallo ambaye ni kada wa CCM?.
Wakati mambo yenu ya ndani yana leak humu jf, April 6 2013, nilipandisha bandiko hili
CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Wanabodi, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!. Jee unakijua kirusi hicho ni nani?, na nini ni motive yake "the motive behind"?!. Kufuatia uzoefu wangu binafsi...www.jamiiforums.com
How long did it take kwa nyinyi kukibaini hicho kirusi?.
P
Wewe ulitaka achagulie nan?manake unazunguka zunguka maelezo tu hapa!Be straight,acha propaganda.Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
Uongozi wa ccm kuna mwanamke gan kashika nafasi ya juu?Hakuna mwanamke yeyote wa kuweza kushika nafasi ya juu?
Dr Bashiru usimlinganishe na vitu vya maana hata kidogo. Humjui nini?Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!