- Thread starter
- #321
Mkuu ni lini Time will tell kufa kwa Chadema kama unavyotabiri kila siku?Time will tell na miongoni mwa vitu vizuri sana mimi nilivyo jaaliwa ni kumbukumbu!. Nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao nursery kwa majina mawili mawili, hivyo when times comes nitakukumbusha.
Au nikukumbushe ni lini nilisema humu Lowassa atakuja Chadema, its only Ben Saanane ndio alinotice na kunitumia PM.
Subiria nitakukumbusha tuu.
P