pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ila sio kama awamu ya 5 na ukanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sio kama awamu ya 5 na ukanda
Mungu wa Daud hasikilizi maombi ya waovu.Labda umtegemee yule 'Mungu' mwingine akusikilizeBaada ya uchaguzi mkuu wa 2020, take it from me, Chadema will be no more!.
P
Ukorofi ndio sifa kuwa kiongozi CHADEMA?mbona wewe upo nyuma ya keyboard hutoki hadharani?
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaMungu ibariki Chadema
Hongera Mnyika!Mbowe amteua Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA. Mh Mbowe amesema kuwa amefanya uteuzi huu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA.
- Mh. John John Mnyika Katibu Mkuu
- Mh. Singo Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Bara
- Mh. Salimu Mwalimu ameendelea kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
- Mh John Heche ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu
View attachment 1297914
Kutoka Kushoto: NAIBU K/MKUU ZANZ - Salum Mwalim , MAKAMU MWKT ZANZ - Said Issa Mohamed, MWENYEKITI - Freeman Mbowe, KATIBU MKUU - John John Mnyika, NAIBU K/MKUU BARA - Benson S. Kigaila
Andika vizuri Basi eeh! Hili jukwaa limevamiwa na ngumbaro! Hebu jisome ulichokiandika, hata hueleweki!Sinilisema mapema? Haya sasa hiyo nifadhira ya myika make anajua hana jimbo mwakani. Myika ni mbunge
Sinilisema mapema? Haya sasa hiyo nifadhira ya myika make anajua hana jimbo mwakani. Myika ni mbunge
Hili swali ni vyema ukawauliza Wazungu wawili 😀 😀 😀
Kunywa panadol
Wewe ndiye unagawa ubunge ama ni wananchi?
Kwani ni nani kasema siyo maoni yake? Miye nimemuuliza tu swali
Hili ndo tatizo LA chadema,wana vijana bright mtaani ambao hawana hata nafasi moja ndani chama ambao wanasifa zakua wajumbe wakamati kuu.Uraisi mtausikia redioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inawezekana sana ukawa unajua kuandika Uzi mrefu kiasi hichoooo lakini nikuhakikishie HUU UZI NI UONGO AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA..........Mtakumbuka kipindi ambacho Mnyika alikuwa mwiba mkali kwa Bwana mwenyekiti wa kudumu kwa kuhoji mambo ya siri ambayo wengi wao hawayajui ndani ya chama hicho na kutopata majibu ya kuridhisha kutoka kwa TOP leaders hali iliyompelekea kuonekana yuko kinyume na chama.
Baada ya vurumai kuzidi kuwa kubwa ndani ya chama hicho, hawa jamaa (MNYIKA na wenzake wawili akiwemo HECHE ) walidhamiria kujiengua chamani na kwenda Kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli, kitu ambacho kingekuwa mwiba wa utosi kwa Mzee Baba mwenye chama chake. Baada ya mwenye chama kujua hilo aliwaza na kukuna kichwa ni njia gani atumie ili "SIRI" wanazozijua hawa jamaa zisije zikatoka nje ya mipaka yake ndipo alipoamua kuwapa vyeo vya karibu yake kama njia ya kuwaweka karibu nae na awasuuze nafsi zao pamoja na kuwatoa PEPO la kuhama chama.
Fadhila hii pia ilimkuta Bwana LISSU, mtakumbuka hivi karibuni mipango ya snitch ZITTO KABWE kujikomba na kujipendekeza kwenda Ubelgiji kumsabahi jaamaangu wa Singida mashariki haikuwa ya bure. Kulikuwa na mipango na mikakati iliyofanikiwa kumshawishi LISSU kujiunga nae na kulikuwa na kila dalili za LISSU kujiunga na ACT Wazalendo kwa ahadi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais 2020 kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bwana mwenyekiti alivyoona hayo akaamua kumtoa KAFARA bwana PROF SAFARI ili kummezesha ndoano na kumpa fadhila bwana LISSU ili aendelee kusalia chamani. Hii ni njia aliyoitumia Mwenyekiti na kuwafunga midomo kabisa kuhoji mambo ya ndani kabisa ya chama. Kongole kwa Mwenyekiti wa kudumu kwa kuwamezesha ndoano jamaa hawa na lets hope watafunga midomo yao kuhoji mambo mazito ya chama.
Na hii ndio CHADEMA Mpya. Pipooooooo's
Acha ulofa wewe mnyika ni wa mwanza??? Mnyika ni wa kaskazini mpare huyo.Kanda ya ziwa hakuna jina mnyika iwe kwa kurya,jita,kerewe,zinza,haya,luo wala sukumaTundu Lissu Singida.
Mnyika ni wa kaskazini acha ulofa,ni mpare yuleAs i kwenye huo uteuzi. Anae tokea kaskazin ni mmoja tu. The rest ni mikoa mingine. Sasa sijui kama kauli yako inaakis uhalisia wa uteuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia majina utachemka sana.Acha ulofa wewe mnyika ni wa mwanza??? Mnyika ni wa kaskazini mpare huyo.Kanda ya ziwa hakuna jina mnyika iwe kwa kurya,jita,kerewe,zinza,haya,luo wala sukuma