John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Time will tell na miongoni mwa vitu vizuri sana mimi nilivyo jaaliwa ni kumbukumbu!. Nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao nursery kwa majina mawili mawili, hivyo when times comes nitakukumbusha.

Au nikukumbushe ni lini nilisema humu Lowassa atakuja Chadema, its only Ben Saanane ndio alinotice na kunitumia PM.

Subiria nitakukumbusha tuu.
P
Mkuu ni lini Time will tell kufa kwa Chadema kama unavyotabiri kila siku?
 
Chadema kuna virus vingi sana,kuna mmoja yaani wanamwamini sana lakini ni kada na mtumwa wa Mapinduzi..Wajaribu kuwachunguza hawa jamaa haswa wa Kanda ya Ziwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Shamba lolote lazima liwe na magugu hata ufanyeje, huko, tiss kwenyewe bado kuna ma agent ya CIA na wengineo,, sasa sembuse chadema ambacho ni chama cha siasa, hivyo elewa chadema sio security agency,.hivyo hayo huwezi kukwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo form six leaves Chadema zitawasumbua hata kwenye mahusiano ya kimataifa

Ukutaka kupata raha, mchukue Magufuli na Mbowe kisha waweke waongee na hao watu wa kimataifa, nakuhakikishia andaa kamba za kufungia mbavu zako, utaona kituko ambacho hujawahi kuona.
 
Wanaccm wote baada kuona hoja kuhusu mwenyekiti na makamu zimebuma sasa wrote wamehamia Katibu mkuu.
Kupunguza kelele watuambie wao walipanga nani atawafaa? Tumechoka kelele zao, kazi tuliyofanya kwa wiki mbili huku kesi nyingi mahakamani tunataka kupumzika mwisho wa mwaka kama walioko Chato
 
Kung'oa bendera kutawasaidiaje? Mmeishiwa mikakati na nyimbo.
Una hoja Ila naona watu wanakubeza na wanaendelea hivyo kwasababu mbowe kaamua Ila mnyika Hakuna kitu ilibidi awe John Heche Dr Albanie Kama sijakosea mbele ya jiwe unaleta watu soft Kama mnyika ambao wanakosa hata Ujasiri majimboni mwao iwe taifa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Freemanq Mbowe - Kilimanjaro
2. John Mnyika - Mwanza
3. Benson Kigaila - Dodoma
4. Salim Mwalimu - Zanzibar

That is as diverse as it can get. CHADEMA are smart, and we should not spin the truth in anyone's favor. Fact is just a FACT!

Tundu Lissu Singida.
 
Hili ndo tatizo LA chadema,wana vijana bright mtaani ambao hawana hata nafasi moja ndani chama ambao wanasifa zakua wajumbe wakamati kuu.Uraisi mtausikia redioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom