Mkuu ni lini Time will tell kufa kwa Chadema kama unavyotabiri kila siku?Time will tell na miongoni mwa vitu vizuri sana mimi nilivyo jaaliwa ni kumbukumbu!. Nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao nursery kwa majina mawili mawili, hivyo when times comes nitakukumbusha.
Au nikukumbushe ni lini nilisema humu Lowassa atakuja Chadema, its only Ben Saanane ndio alinotice na kunitumia PM.
Subiria nitakukumbusha tuu.
P
Hakuna mwanamke yeyote wa kuweza kushika nafasi ya juu?
Namsubiri msemaji w mrema aliyekuwa katibu mkuu kivuri. Atapewa cheo gani, nasikia anaandariwa kugombea ubunge. Ha ha ha chadema tunakufa sasa.
Hizo form six leaves Chadema zitawasumbua hata kwenye mahusiano ya kimataifa
AllahuakbarKwa kweli hii ni mashine kubwa.Mungu ni mkubwa
Shamba lolote lazima liwe na magugu hata ufanyeje, huko, tiss kwenyewe bado kuna ma agent ya CIA na wengineo,, sasa sembuse chadema ambacho ni chama cha siasa, hivyo elewa chadema sio security agency,.hivyo hayo huwezi kukwepa.Chadema kuna virus vingi sana,kuna mmoja yaani wanamwamini sana lakini ni kada na mtumwa wa Mapinduzi..Wajaribu kuwachunguza hawa jamaa haswa wa Kanda ya Ziwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata limao litamsaidia!Kunywa panadol
Hizo form six leaves Chadema zitawasumbua hata kwenye mahusiano ya kimataifa
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, take it from me, Chadema will be no more!.Mkuu ni lini Time will tell kufa kwa Chadema kama unavyotabiri kila siku?
Una hoja Ila naona watu wanakubeza na wanaendelea hivyo kwasababu mbowe kaamua Ila mnyika Hakuna kitu ilibidi awe John Heche Dr Albanie Kama sijakosea mbele ya jiwe unaleta watu soft Kama mnyika ambao wanakosa hata Ujasiri majimboni mwao iwe taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Bashiru kashine kwenye jimbo gani???Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
1. Freemanq Mbowe - Kilimanjaro
2. John Mnyika - Mwanza
3. Benson Kigaila - Dodoma
4. Salim Mwalimu - Zanzibar
That is as diverse as it can get. CHADEMA are smart, and we should not spin the truth in anyone's favor. Fact is just a FACT!
Hongera wana Kaskazini kwa kupata viongozi.
unamaanisha huyu Bashiru the loser??Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!