John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

CDM ina vijana wengi mno "home grown leaders"; hili si tatizo kwa Mwenyekiti maana ana wider room to make his choice - wote akina Mnyika - Heche ni majembe matupu.
 
Hili ni swali tu ndugu zangu ambalo nimelileta kwenu na wala sina lengo lingine zaidi ya kutaka kujua maono na utabiri wenu tu.

Ikumbukwe kwamba hii ni nafasi nyeti sana ndani ya chama, inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa sana anayeweza kuunganisha viongozi na wanachama, mwenye uwezo wa kufuta makundi yaliyojitokeza kwenye uchaguzi huko kwenye kanda na kwenye Mabaraza, mbunifu na asiye muoga.
Hongera sana kwa ushauri mzuri sana
 
CDM ina vijana wengi mno "home grown leaders"; hili si tatizo kwa Mwenyekiti maana ana wider room to make his choice - wote akina Mnyika - Heche ni majembe matupu.
Hakika umenena vema aana
 
Kati ya hayo majina angalia nikilaza nani anaweza kuendana na mbowe, nionavyo mimi hapo atapewa mashinji tena au heche
 
Back
Top Bottom