- Thread starter
- #41
Mbowe amefanya kazi kubwa.Tunaamini atatuteulia jina sahihi na linaloendana na kasi yakeKati ya hayo majina angalia nikilaza nani anaweza kuendana na mbowe, nionavyo mimi hapo atapewa mashinji tena au heche
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe amefanya kazi kubwa.Tunaamini atatuteulia jina sahihi na linaloendana na kasi yakeKati ya hayo majina angalia nikilaza nani anaweza kuendana na mbowe, nionavyo mimi hapo atapewa mashinji tena au heche
Kuna changamoto naiona CHADEMA hasa wabunge kuwa na overlapping roles sio nzuri kwa kukuza chama. Natamani mtu akiwa mbunge aachie nafasi zingine zote ili kutoa fursa kwa vijana chipukizi kutoa mchango wao kwenye kujenga chama.
Nakumbuka Mnyika alipokuwa NKM alipotea kabisa jimboni akawa anakesha mikoani kujenga chama ikawa changamoto mno kujigawa majukumu na hta kukosa vikao vya bunge.
Ningependekeza apatikane katibu mkuu ambaye atakuwa yupo ofisini full time iwe Mwalimu/Nyalandu au Dr Marcus n.k ili ajikite kujenga chama sio kuwaza atateteaje jimbo mwakani.
NB: David Silinde ni mmoja kati ya viongozi naowakubali sana CHADEMA ila sielewi kwanini hamumuweki front page. Ana siasa za ki-maturity sana kama sio ubunge angefaa NKM bara.
Wazo zuri sana mkuuKuna changamoto naiona CHADEMA hasa wabunge kuwa na overlapping roles sio nzuri kwa kukuza chama. Natamani mtu akiwa mbunge aachie nafasi zingine zote ili kutoa fursa kwa vijana chipukizi kutoa mchango wao kwenye kujenga chama.
Nakumbuka Mnyika alipokuwa NKM alipotea kabisa jimboni akawa anakesha mikoani kujenga chama ikawa changamoto mno kujigawa majukumu na hta kukosa vikao vya bunge.
Ningependekeza apatikane katibu mkuu ambaye atakuwa yupo ofisini full time iwe Mwalimu/Nyalandu au Dr Marcus n.k ili ajikite kujenga chama sio kuwaza atateteaje jimbo mwakani.
NB: David Silinde ni mmoja kati ya viongozi naowakubali sana CHADEMA ila sielewi kwanini hamumuweki front page. Ana siasa za ki-maturity sana kama sio ubunge angefaa NKM bara.
Marcus Albanie? Ama?Silinde bado kidogo kwa nafasi kubwa kiasi hicho. Pale inamfaa Marcus
Mkuu nimeongelea Silinde kuwa Naibu Katibu mkuu Bara.Silinde bado kidogo kwa nafasi kubwa kiasi hicho. Pale inamfaa Marcus
Hapana Ester Bulaya ndio mtu sahihi!Silinde bado kidogo kwa nafasi kubwa kiasi hicho. Pale inamfaa Marcus
Hao wanaweza kutunza siri za upigaji wa ruzuku?Kosa kubwa wanaweza kulifanya ni kuendelea na Mashinji au hata kuteua tena mtu kama yeye. Mashinji kazi zinazomfaa Mashinji ni udaktari, uuguzi, ufamasia, mshauri nasaha, mhubiri, nk. Anafaa kwenye kazi zinazohitaji lugha laini, kazi za kutumwa, sio kujituma, kazi za upole na diplomasia, nk. Weka Heche, weka Mnyika, na machachari wengine. Sio mtu anachezewa rafu anaanza kukaa chini kuangalia alipoumia na kulia.
LabdaWee jamaa nimependa ulivyoandika kwa kuzingatia kanuni za hesabu. Bila shaka wewe ni mwalimu wa hesabu. Ulichoandika hapo hakinihusu ila nimependa tu ulivyozingatia kanuni.
Ulitumwa lini na wapiga kura wa Kibamba? Na lini alikuambia atagombea tena au chama kitampitisha?
We need a focused diplomatic person, ukimuweka mtu mechanical kunaweza kuwa na shida kidogo. Heche is mechanical anafaa sana kwenye uhamasishaji, mikutano, campaign etcMkuu..kwa sasa pale anatakiwa mtu jabali kwelikweli type ya John Heche.
Malaya na kizabizabina ni wa hatari kweli! Yaani anaweza kushinda dirishani kusikiliza mjadala wa nyumba jiraniKwahiyo unamaanisha mashinji ni muoga?
Hii dhambi ya ubaguzi sio nzuri
Machungu uliyo nayo Leo kwa jina LA Mbowe waweza muita mweza wako jina hilo kunako majamboz!1.Mbowe
2.Mbowe
3.Mbowe
.
.
.
n. Mbowe
Na bado, kunyweni sumu. Si mna msajili? Mwambieni aifute chadema1.Mbowe
2.Mbowe
3.Mbowe
.
.
.
n. Mbowe
Malaya na kizabizabina ni wa hatari kweli! Yaani anaweza kushinda dirishani kusikiliza mjadala wa nyumba jirani
Sent using Jamii Forums mobile app