Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwepo mwanza? Km hakuwwpo futsBila kukupepesa macho mtu mwenye hoja ambaye Yuko vizuri kwa nafasi hiyo Ni Silinde .Katulia Ana hoja Hana jaziba
Exactly, mimi sioni tatizo la mashinji! Nawashauri mashinji should stay, hasa kwa nyakati kama hizi ambazo watu wana misukosuko na serikali hii. Ajaye haya atayaweza? Unaona pamoja na misuko suko yote bado MASHINJI YUKO CALM.Naona angalau wewe umeona nini kazi ya Katibu Mkuu. Ukifuatilia mikutano hii ya chadema wametoka kwenye the so called mechanical politics. Sasa nashangaa baadhi ya fans wao humu wanataja majina ya aina hiyo ya siasa. Ile nafasi ina hitaji mtu wa mipango sana na sera
WanaJF Salaam
Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho Mwenyekiti wa Taifa atapaswa kupendekeza majina kwa nafasi tatu za Katibu Mkuu na Manaibu wake wawili wa Tanganyika na Zanzibar.Kisha Baraza Kuu litapigia kura mapendekezo ya Mwenyekiti na kuwachagua rasmi watendaji hao.
Kwa sasa habari kuu hapa katika viwanja vya Mlimani City ni kuhusu jina la Katibu Mkuu mpya.Huku majina kadhaa yakitajwa na wajumbe kwa kubashiri.
Majina yaliyoko vinywani vya wajumbe na kuonekana kutajwa sana ni John Mnyika,John Heche,Salum Mwalim,Lazaro Nyalandu na Vicent Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu anayemaliza muda wake.
Tunatarajia kuwaletea taarifa kamili ya uteuzi utakaofanywa na Mwenyekiti na tunawaahidi wasomaji wetu wa Jamii Forum kuwa wa kwanza kupata taarifa.
Asanteni sana
Wasalaam
Molemo wa JF
Siyo lazima uchangie kila hojaChadema wanga kwa hiyo huyo katibu mkuu atapatikana Leo usiku wa manane Kama mwenyekiti?
Asante kwa ushauri
Naona Marcus ana wafuasi sana.Safi sana
Unajidhalilisha tu nduguJohn Mnyika anafaa na mkaskazini mwenzetu.
Anajuana na mwenye Chama vizuri mzee Mtei na Mwenyekiti wetu kaka yetu Mbowe.
Sent using Jamii Forums mobile app
David silinde. Ni mashine. Anafaa bcoz anaweza kujenga hoja na kuiteteaKuna changamoto naiona CHADEMA hasa wabunge kuwa na overlapping roles sio nzuri kwa kukuza chama. Natamani mtu akiwa mbunge aachie nafasi zingine zote ili kutoa fursa kwa vijana chipukizi kutoa mchango wao kwenye kujenga chama.
Nakumbuka Mnyika alipokuwa NKM alipotea kabisa jimboni akawa anakesha mikoani kujenga chama ikawa changamoto mno kujigawa majukumu na hta kukosa vikao vya bunge.
Ningependekeza apatikane katibu mkuu ambaye atakuwa yupo ofisini full time iwe Mwalimu/Nyalandu au Dr Marcus n.k ili ajikite kujenga chama sio kuwaza atateteaje jimbo mwakani.
NB: David Silinde ni mmoja kati ya viongozi naowakubali sana CHADEMA ila sielewi kwanini hamumuweki front page. Ana siasa za ki-maturity sana kama sio ubunge angefaa NKM bara.
Awamu hii naibu katibu mkuu anaweza kuwa mwanamkeHapana Ester Bulaya ndio mtu sahihi!
Katibu mkuu lazima awe na umri mkubwa kuwapita wote hao, ili ukiachana na cheo, ata kiumri aweze kupata uhalali wa kuwapangia majukumu, na pia siyo mbaya akalingana kiumri ama akamzidi mbowe. So Mashinji should be the first choice. Pia anawakilisha kanda pendwa.John Heche, Peter Msigwa, Mnyika, Halima Mdee na Kigaila Bensoni. Mmojawapo anafaa japo watatu wamwanzo are the best