John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Chadema wanga kwa hiyo huyo katibu mkuu atapatikana Leo usiku wa manane Kama mwenyekiti?
 
WALOGWE WALIPE LILE LIZEE DR. LWAITAMA hilo zee ninomaaa litamfukuza mbowe faster. Hapo minajua katibu nikati yalile kundi lililopanda ndege yakukodi kwenda mwanza kuomba maridhiano.
 
Ha ha ha ha, Dr Lwaitama!!! Thubutu lile lizee haliwezi kuburuzwa na mboweee
 
Exactly, mimi sioni tatizo la mashinji! Nawashauri mashinji should stay, hasa kwa nyakati kama hizi ambazo watu wana misukosuko na serikali hii. Ajaye haya atayaweza? Unaona pamoja na misuko suko yote bado MASHINJI YUKO CALM.
 
Apewe Dr. Albanie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heche anatosha hao wengine wote waoga tu
 
David silinde. Ni mashine. Anafaa bcoz anaweza kujenga hoja na kuitetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya chances za Mashinji kurudi ni ndogo sana kwasababu ameshagundulika ni “Snitch” anapeleka info za chama kwa mkulu. Ingekuwa ni CCM tayari angeshaondolewa na kuitwa kwenye kamati ya maadili. Ndio maana unaona humu wanaompigia chapuo wengi ni watu wa CCM


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
John Heche, Peter Msigwa, Mnyika, Halima Mdee na Kigaila Bensoni. Mmojawapo anafaa japo watatu wamwanzo are the best
Katibu mkuu lazima awe na umri mkubwa kuwapita wote hao, ili ukiachana na cheo, ata kiumri aweze kupata uhalali wa kuwapangia majukumu, na pia siyo mbaya akalingana kiumri ama akamzidi mbowe. So Mashinji should be the first choice. Pia anawakilisha kanda pendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…