John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Heche, Peter Msigwa, Mnyika, Halima Mdee na Kigaila Bensoni. Mmojawapo anafaa japo watatu wamwanzo are the best
Huyu Kigaila huyu!! katoka mbali sana na chama na anaonekana ni CHADEMA damu inatakiwa wamfikirie kwenye hizo nafasi za juu awamu hii.
 
Naona Makamanda mmeamua

Mtu ukiwa msomi sana bas kila kitu unakipeleka kisomi somi hesabu kwa sana!chadeka hatutak watu wa aina hyo aisee!..mfano mm ningekuwa huko juu top..siku ningemvizia Pole pole unalirukisha kichura chura na Musiba wao!unahakiksha hakuna ushahidi!gonga sana ngoko za magoti...!week zima ofisi za ccm anazingalizia wasap😣😣😣😣😣😣😣😣
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. John Heche;
2. Salum Mwalimu; Au
3. Dr. Marcus Albanie.
 
Kwanini unanitukana unafikiri najikiaje?

Umeshindwa kujenga hoja wakalia matusi

Umeniudhi sana

Na kwa taarfa yako chadema haifiki popote
Umefikiaje uamuzi kuwa namzungumzia Kawe? Umetajwa? Au wewe ndio unatabia hizo?
 
Bado kiongozi.Tutarajie mida ya kuanzia saa 3 usiku na kuendelea
Mkutano wa baraza kuu umeanza mkuu. Now wanachagua wajumbe wa kamati kuu kisha Mbowe atapendekeza majina ya katibu mkuu na manaibu wake. Zama ulete live updates
 
Mkutano wa baraza kuu umeanza mkuu. Now wanachagua wajumbe wa kamati kuu kisha Mbowe atapendekeza majina ya katibu mkuu na manaibu wake. Zama ulete live updates
Ndiyo mkuu.Nilichokuwa namjibu ni kwamba Katibu Mkuu bado hajapatikana mpaka baadaye uchaguzi wa wajumbe KK uishe
 
Hahaa eti hawekwi front, kwanini yeye asijiweke front ili aonekane anakitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…