- Thread starter
- #141
Bado kiongozi.Tutarajie mida ya kuanzia saa 3 usiku na kuendeleaMolemo, hakuna updates on front page?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kiongozi.Tutarajie mida ya kuanzia saa 3 usiku na kuendeleaMolemo, hakuna updates on front page?
Ha Haa Haa..Hawajaamini macho na masikio yao kwa ule ushindi wa Mbowe ulikuwa ni wa kishindo kweli kweli
WALOGWE WALIPE LILE LIZEE DR. LWAITAMA hilo zee ninomaaa litamfukuza mbowe faster. Hapo minajua katibu nikati yalile kundi lililopanda ndege yakukodi kwenda mwanza kuomba maridhiano.
Asante kwa maoni mazuri.Ni masaa machache tu yamebaki kabla Moshi mweupe kuonekana Mlimani City
Inaudhi sana kila siku habari za Chadema
Hawajiamini kwa lolote
Huyu Kigaila huyu!! katoka mbali sana na chama na anaonekana ni CHADEMA damu inatakiwa wamfikirie kwenye hizo nafasi za juu awamu hii.John Heche, Peter Msigwa, Mnyika, Halima Mdee na Kigaila Bensoni. Mmojawapo anafaa japo watatu wamwanzo are the best
Ni kamanda mpiganaji hasa huyoHuyu Kigaila huyu!! katoka mbali sana na chama na anaonekana ni CHADEMA damu inatakiwa wamfikirie kwenye hizo nafasi za juu awamu hii.
Naona Makamanda mmeamuaHAFAI! Kwa ujinga huu unaondelea nw anafaa HECHE.. Mwaga mboga mwagaugali!
Naona Makamanda mmeamua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu ukiwa msomi sana bas kila kitu unakipeleka kisomi somi hesabu kwa sana!chadeka hatutak watu wa aina hyo aisee!..mfano mm ningekuwa huko juu top..siku ningemvizia Pole pole unalirukisha kichura chura na Musiba wao!unahakiksha hakuna ushahidi!gonga sana ngoko za magoti...!week zima ofisi za ccm anazingalizia wasap[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Yaani inakera sana kila kukicha TBC imeng`ang`ana na CCM tu!Inaudhi sana kila siku habari za Chadema
Umefikiaje uamuzi kuwa namzungumzia Kawe? Umetajwa? Au wewe ndio unatabia hizo?Kwanini unanitukana unafikiri najikiaje?
Umeshindwa kujenga hoja wakalia matusi
Umeniudhi sana
Na kwa taarfa yako chadema haifiki popote
Mkutano wa baraza kuu umeanza mkuu. Now wanachagua wajumbe wa kamati kuu kisha Mbowe atapendekeza majina ya katibu mkuu na manaibu wake. Zama ulete live updatesBado kiongozi.Tutarajie mida ya kuanzia saa 3 usiku na kuendelea
Dr. Marcus pia anafaa hiyo nafasi1. John Heche;
2. Salum Mwalimu; Au
3. Dr. Marcus Albanie.
Ndiyo mkuu.Nilichokuwa namjibu ni kwamba Katibu Mkuu bado hajapatikana mpaka baadaye uchaguzi wa wajumbe KK uisheMkutano wa baraza kuu umeanza mkuu. Now wanachagua wajumbe wa kamati kuu kisha Mbowe atapendekeza majina ya katibu mkuu na manaibu wake. Zama ulete live updates
Hahaa eti hawekwi front, kwanini yeye asijiweke front ili aonekane anakituKuna changamoto naiona CHADEMA hasa wabunge kuwa na overlapping roles sio nzuri kwa kukuza chama. Natamani mtu akiwa mbunge aachie nafasi zingine zote ili kutoa fursa kwa vijana chipukizi kutoa mchango wao kwenye kujenga chama.
Nakumbuka Mnyika alipokuwa NKM alipotea kabisa jimboni akawa anakesha mikoani kujenga chama ikawa changamoto mno kujigawa majukumu na hta kukosa vikao vya bunge.
Ningependekeza apatikane katibu mkuu ambaye atakuwa yupo ofisini full time iwe Mwalimu/Nyalandu au Dr Marcus n.k ili ajikite kujenga chama sio kuwaza atateteaje jimbo mwakani.
NB: David Silinde ni mmoja kati ya viongozi naowakubali sana CHADEMA ila sielewi kwanini hamumuweki front page. Ana siasa za ki-maturity sana kama sio ubunge angefaa NKM bara.