Anaendelea Kanani ni nani?Sasa kuliko kuuza utu wao si bora waunge mkono juhudi?
Harakati za ukombozi tumbo halitangulizwi mbele, ukiona njaa inauma sana rudi Misri, wacha wanaoweza kwenda Canaan waendelee na safari ngumu
CCM wafanye hivyo. Wajiteue ili wengine wawe CCM, na wengine wajiite wapinzani. Nani kawazuia?CHADEMA wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio CHADEMA wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Uchafu alioufanya jiwe ni wa kupindukia. Aachwe amalizie uchafu wake maeneno yote.Hii ni siasa.
If you cant beat them , join them.
Halafu all battles zina two steps forward, one step backward, then leap!
Kama walivyoanza kwa uchagu wao, waebdelee na uchafu wao. Shetani wala huwa hahangaiki kuwa malaika. Sasa huyu shetani wa kwetu sijui kwa nini muda mwingine anataka aonekane ni malaika.Kwa akili yako unadhani ni lazima upinzani uwepo .wasiposhinda wataingiaje,na kama wamekataa wenyewe unadhani shughuli za nchi zitawasubiri wao kuwemo bungeni.Subiri wabunge waape ndiyo utajua kwamba hakuna linaloshindikana.Wewe endelea kujipa moyo.
Ya ng'ambo hayatuhusu. Tanzania hayajaisha. Kwa mara ya kwanza tuna wakimbizi wa kisiasa. Lema ametimkia Kenya
Wapinzani watakuwepo rafiki. Viti maalumCCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti Uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Mbona miaka yote mnaibiwa kura lakini mnatoa viti maalum? This time mnagoma..why?Nani kasema wanachofanya ni kususa?Unaelewa kuwa ili Upinzani utoe Wabunge wa viti maalum ni lazima kuwe na Uchaguzi uliofanyika?Ulifanyika Uchaguzi au uchafuzi?Unataka CHADEMA watoe wabunge wa viti maalum wakati hakuna Uchaguzi uliofanyika?
Kwetu raha tuu magu2016[/USE
[/QUOTE]
Kwa sababu Mbowe hajashinda Ubunge.Mbona miaka yote mnaibiwa kura lakini mnatoa viti maalum? This time mnagoma..why?
Katika wapinzani ambao hawajaonewa Mbowe ni namba one, kashindwa kihalali kabisa..waulize watu wa HaiKwa sababu Mbowe hajashinda Ubunge.
Sasa cdm ndo waliiba kura,cdm ndo waliwatoa vituoni MawakalaCHADEMA ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
Ndio maana haendi mahakamaniKatika wapinzani ambao hawajaonewa Mbowe ni namba one, kashimdwa kihalali kabisa..waulize watu wa Hai
Unawalaumu wengne na kujisahau wewe. Ujanja kujificha nyuma ya keyboard!Mkuu umeongea ukweli mchungu Sana , tatizo mzigo wanaangushiwa hao viongozi , they can't handle such things alone , washangiliaji wa humu wote wamemute , Kila mtu anasema CHADEMA wafanye hv , mwingine anasema wafanye vile , swali linakuja who is CHADEMA ?? Au ndo kikundi cha watu wachache akina Mbowe, M , Lissu n.k hawa watu believe me hawawez fanya chochote bila mass support kitu ambacho Kwa Tz ni ndoto za kufikirika , nchi imejaa keyboard warrior.
.. nayeweza kumpa credit mpak sasa ni Lissu huyu jamaa amefight to the maximum....ila support ni poor
Msipopeleka majina mnamkomoa nani?1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Itisha press conference,tell them haya Mambo kuondoa utata.sio kila mtu Yuko kwenye mitandao ya kijamii. Ila biashara haramu ya viti maalum achaneni nayo.1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Mkuu punguza jazba!Kuwa kibaraka wa Jiwe Kuna kusaidia nini wewe , huku ndugu zako ,baba , mama , dada , Kaka , shangazi , mjomba , Bibi , babu , binamu zako wanaishi maisha ya dhiki kuu iliyoletwa na bosi wako unaemuabudu .