Mkuu umeongea ukweli mchungu Sana , tatizo mzigo wanaangushiwa hao viongozi , they can't handle such things alone , washangiliaji wa humu wote wamemute , Kila mtu anasema CHADEMA wafanye hv , mwingine anasema wafanye vile , swali linakuja who is CHADEMA ?? Au ndo kikundi cha watu wachache akina Mbowe, M , Lissu n.k hawa watu believe me hawawez fanya chochote bila mass support kitu ambacho Kwa Tz ni ndoto za kufikirika , nchi imejaa keyboard warrior.
.. nayeweza kumpa credit mpak sasa ni Lissu huyu jamaa amefight to the maximum....ila support ni poor