Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Sasa kuliko kuuza utu wao si bora waunge mkono juhudi?
Harakati za ukombozi tumbo halitangulizwi mbele, ukiona njaa inauma sana rudi Misri, wacha wanaoweza kwenda Canaan waendelee na safari ngumu
Anaendelea Kanani ni nani?
 
Kwa akili yako unadhani ni lazima upinzani uwepo .wasiposhinda wataingiaje,na kama wamekataa wenyewe unadhani shughuli za nchi zitawasubiri wao kuwemo bungeni.Subiri wabunge waape ndiyo utajua kwamba hakuna linaloshindikana.Wewe endelea kujipa moyo.
Kama walivyoanza kwa uchagu wao, waebdelee na uchafu wao. Shetani wala huwa hahangaiki kuwa malaika. Sasa huyu shetani wa kwetu sijui kwa nini muda mwingine anataka aonekane ni malaika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti Uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Wapinzani watakuwepo rafiki. Viti maalum
 
He hee wameanza kufarakana wenyewe
 
Nani kasema wanachofanya ni kususa?Unaelewa kuwa ili Upinzani utoe Wabunge wa viti maalum ni lazima kuwe na Uchaguzi uliofanyika?Ulifanyika Uchaguzi au uchafuzi?Unataka CHADEMA watoe wabunge wa viti maalum wakati hakuna Uchaguzi uliofanyika?
Mbona miaka yote mnaibiwa kura lakini mnatoa viti maalum? This time mnagoma..why?
 
Kuanza Kugombana ( Kutoelewana ) baina ya Mdee na Kigogo ni dalili njema kuwa sasa Wanaanza 'Kugeukana' na huenda kuna Mtu ataumbuliwa.
 
Mkuu umeongea ukweli mchungu Sana , tatizo mzigo wanaangushiwa hao viongozi , they can't handle such things alone , washangiliaji wa humu wote wamemute , Kila mtu anasema CHADEMA wafanye hv , mwingine anasema wafanye vile , swali linakuja who is CHADEMA ?? Au ndo kikundi cha watu wachache akina Mbowe, M , Lissu n.k hawa watu believe me hawawez fanya chochote bila mass support kitu ambacho Kwa Tz ni ndoto za kufikirika , nchi imejaa keyboard warrior.

.. nayeweza kumpa credit mpak sasa ni Lissu huyu jamaa amefight to the maximum....ila support ni poor
Unawalaumu wengne na kujisahau wewe. Ujanja kujificha nyuma ya keyboard!
 
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.

By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Msipopeleka majina mnamkomoa nani?
Miaka yote ya uchaguzi mnaibiwa kura baadhi ya majimbo?
Lakini mliokuwa mkishinda mlienda Bungeni.
 
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.

By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Itisha press conference,tell them haya Mambo kuondoa utata.sio kila mtu Yuko kwenye mitandao ya kijamii. Ila biashara haramu ya viti maalum achaneni nayo.
 
Kuwa kibaraka wa Jiwe Kuna kusaidia nini wewe , huku ndugu zako ,baba , mama , dada , Kaka , shangazi , mjomba , Bibi , babu , binamu zako wanaishi maisha ya dhiki kuu iliyoletwa na bosi wako unaemuabudu .
Mkuu punguza jazba!
hapa watu wanajifurahisha. Mambo ya siasa hayahitaji uingie na familia na ukoo.

Btw, unafikiri angeshinda huyo unayemwamini angekuletea lori la noti nyumbani kwako?
Punguza kukaza misuli ya kichwa kwa hizi SI HASA ukatafute riziki yako na ya wanaokutegemea.
 
Sisiemu imekwama sana kumbe wanataka kubuni orodha na sign wapeleke viti maalum kwa chama cha chadema? Hii ni laana tena
 
Back
Top Bottom