Kwahiyo Chadema walitengeneza kura feki halafu wakawapa polisi wawahifadhie?!Waliowaharibia ni wale waliotengeneza hizo kura fake, wakazipeleka kituoni, halafu wakazikamata, kisha wakazichoma moto na kugoma kupeleka malalamiko yao NEC
Chadema hawana ujasiri wa kukataa ruzuku, ni issue ya muda tu na kupanga maneno laini ya kuwalainisha wahafidhina wao na mwishowe wa siku watapeleka majina ya Mahawara zao
Ruzuku? ...inahusianaje na special seats women?Chadema hawana ujasiri wa kukataa ruzuku, ni issue ya muda tu na kupanga maneno laini ya kuwalainisha wahafidhina wao na mwishowe wa siku watapeleka majina ya Mahawara zao
Hii issue inaenda kuleta doa Chadema, now the best way ni kutochagua yeyote wa kumpeleka huko, hao wenye majina yaliyopelekwa wakafanye mambo yao mengine. Wakose wote.Ndio ipo hivyo. Sijajua idadi halisi ya kura za chadema walizopata kwenye ubunge ila nahisi wanavuka 10%, hivyo wanaweza kuwa na wabunge wasiopungua 15.
Shida ilipo ni, majina ya wagombea viti maalum yalishapelekwa hivyo kinachofanyika ni sasa hivi kamati kuu kuamua katika yale majina ni kina nani wapite. Sasa inavyoonekana ni kama kuna watu wanatakiwa kupitishwa ilihali hawakugombea viti maalum
Wa kwanza viti maalum ambaye amepita ni halima mdee, sababu ya nafasi yake ya mwenyekiti bawacha. Hii nafasi unapata viti maalum moja kwa moja
You nailed itMbona kelele km zote mkuu. Kwani tatizo ni nini hapo. Uchaguzi umeisha, washindi wametangazwa. NEC wamefanya kazi yao vizuri kabisa na kupongezwa. Bunge la kijani ndilo lilikuwa takwa la msingi na limetimia. Sasa NEC kutuhumiwa kughushi , tena kwa niaba ya waliokataliwa na wananchi inakuwaje hapo? Nashauri bunge liendelee tu , kusiwe na mpango wowote wa kuteua wakwamisha maendeleo wa nchi hii kuvuruga Bunge letu tukufu. Kijani 99.9% ipo sawa. Tuachane na ulaghai .
Akili zako bado ni ndogo sana wewe.Inaonekana wewe ni mnufaika wa huu ujinga ndo maana unasema hivyo.ila kaa ukijua hii nchi itakuepo miaka mingi sana ijayo sasa angalia kizazi chako kisije kujuta kua na mzazi kilaza kama wewe.
Mkuu umeelewa mada iliyo ubaoni ?Chadema ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
Kwahiyo Chadema walitengeneza kura feki halafu wakawapa polisi wawahifadhie?!
Kwan walio piga kura tz ni kina Nan?? Mbona mnalazimisha tz kua haram [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uo ujinga ccm hawawez kufanya sababu hauna faida yoyoteKinacho wafanya mgushi sahihi za wana Chadema kwenda bungeni ni nini wakati mkakati wa miaka mitano ulikua kuua upinzani.
Pole sana. You are too lowOk, nimekupata, kumbe ni kura za ubunge jumla kwa majimbo yote ya ubunge nchi nzima, nilidhani ni kwa lile jimbo waliloshinda pekee.
Unaposema unyumbu lazima ufike mwisho unamaanisha nini?.Kwasababu hizo sababu ulizozitaja wala hazikua na shida yoyote kwa yale yaliyotokea kwenye kituko cha uchaguzi uliofanyika.kila mwenye akili timamu anajua kilichofanyika na tatizo liko wapi na linasimamiwa nakutekelezwa na nani.Au wewe kwa akili zako unaona mambo yako sawa nchi hii na kushindwa kwa chadema nikwasababu ulizozitaja?.Hebu tuliza kichwa kisha utafakari kwa kina.
Uo ujinga ccm hawawez kufanya sababu hauna faida yoyote
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wanaoumia ni wafuasi ila viongozi wa chadema mioyoni mwao wanajua kabisa wameshindwa kihalali na mazingira ya kushindwa waliyaruhusu wao wenyeweSio kweli, zungumzia Majimbo mengine yawezekana sababu mimi sikuwepo. Lakini nilifuatilia Jimbo la Hai zaidi ya miezi 8 kabla ya uchaguzi. Siku tatu kabla ya uchaguzi nilikuwa Hai na Bi Mkubwa wangu kwao ni Lyamungo Sinde.
Nilitembelea kata zote za Jimbo la Hai kuanzia Kashinsha, Ivaery, Masama Kusini, Masama Magharibi, Ng'uni, Matikoni, Uroki, Nkira, Aishi, Nshana, Mamba,Kalali, Uraa, Kisiki, Nkoraya, Sonu, Kyeeri, Nkuu, Kisereni, Mwowe, Nkwarungo, Nkweseko, Matikoni. Vijiji 162 kwa hiyo ni eneo kwanza nalijua, na linanihusu.
Hakuna matayarisho yeyote ya maana ya kuonyesha Mwenyekiti anagombea Jimbo hili. Kuanzia party organisation within constituency mpaka mawakala.
Mgombea ameondoka bila kutayarisha nani anawalipa mawakala.
Hakuna mafunzo ya Mawakala na wamechukuli chukuliwa randomly wengine hata sio wana Chadema. Na Bwana Mkuba kajikata hata kuwalipa hakuna. Mawakala 35 kwa Lyamungo Sinde na Mwowe Msikitini na Nkwarungo nilipa mimi bila kutayarishwa, lakini haini sumbui ndio Ukamanda.
Mengine ni usanii tuu. Tuache tutavuana nguo tuu, hapa sio mahala pake.
At least now you are coming back to your sensesHii issue inaenda kuleta doa Chadema, now the best way ni kutochagua yeyote wa kumpeleka huko, hao wenye majina yaliyopelekwa wakafanye mambo yao mengine. Wakose wote.
Kuna mkono wa serikali kwenye hili, waliwaondoa bungeni kwa makusudi wale wabunge machachari wa Chadema (hasa wa kiume), halafu waje kuwaweka wabunge wanaotaka wao kwa njia ya viti maalum, Chadema hapa wasipoangalia wajue wanatumiwa na serikali.
Ungejua nilichafua kidole changu kwa ule wino wenu, usingesema hivyo.Kwani zile kura walizihifadhi police au kwenye kituo cha wapiga kura?
Halafu uchaguzi mwingine usikubali kushikiwa akili hapa JF na tweeter, uaendage field ukawe wakala ili kushuhudia mnavyoshindwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Imefahamika kuwa hadi sasa hakuna kikao chochote kilichoketi kati ya Kamati Kuu ya Chadema na Tume ya uchaguzi, na hadi sasa hakuna majina yeyote ya viti maalumu yaliyopelekwa NEC...
Nyie watoto bana.Pole sana. You are too low