Hata yeye mbunge wa Nkasi wapo walioumia kwa ajili yakeHata huyo wa Nkasi lazima ajue ni chama kilichombeba, na msimamo wa chama ni kutoyatambua matokeo yote, kama hakithamini chama na wanachama waliokufa kwa ajili yake anathamini pesa kwanini asiunge juhudi aungane na watesi hatokuwa wa kwanza.
wanachaguliwa kwa namba mkuu, ina maana jina la kwanza mpaka la 15 ndio watakaopitishwa!Ndio ipo hivyo. Sijajua idadi halisi ya kura za chadema walizopata kwenye ubunge ila nahisi wanavuka 10%, hivyo wanaweza kuwa na wabunge wasiopungua 15.
Shida ilipo ni, majina ya wagombea viti maalum yalishapelekwa hivyo kinachofanyika ni sasa hivi kamati kuu kuamua katika yale majina ni kina nani wapite. Sasa inavyoonekana ni kama kuna watu wanatakiwa kupitishwa ilihali hawakugombea viti maalum
Wa kwanza viti maalum ambaye amepita ni halima mdee, sababu ya nafasi yake ya mwenyekiti bawacha. Hii nafasi unapata viti maalum moja kwa moja
Najua yeye ni care free kwa sababu anauhakika wa maisha yake, sisi wananchi wa kawaida tunaotegemea uimara wa muhimili wa bunge tusipopiga kelele ndio tukataopata shida.Mkuu serious kabsa unahisi jiwe anateteleka na kususa kwenu?
Mkuu na ww unaamini unasikika kwa kwenda bungeni? Bunge hili hili lililo chini ya serikali ya Magufuli? Kumbuka bunge lenyewe sio live bali liko gizani. Lisu hakuwa bungeni zaidi ya miaka mitatu, mbona karudi na amesomeka tu? Wananchi sasa hivi tuna uelewa wa kutosha, tunajua fika hakuna jipya kwenye hilo bunge kibogoyo.Yes ni busura pia coz kama hawatapeleka means
Chama chao hakitasikika kwa miaka 5
Kujipanga ni pamoja na kuhakikisha kwa miaka hii mitano bunge linakuwa kama kikao cha CCM ili wananchi waone umuhimu wa upinzani bungeni.Jipangeni na 2025, sasa hivi muwe wapole tu kwa mamlaka sababu hakuna chochote mtachofanya kikafanikiwa.
Mtanzania.We nani kwanza unayesema hayo
,hebu jitambulishe tukujue
Kwa nini waliingia bungeni 2015 na hawakususa kama ilivyo 2020? Chadema is miles far worse than chama ruzuku...Chama chochote kuliko kubaki kuwa "chama ruzuku" ni bora hicho chama kife!
Kwaiyo tetesi ishathibitishwa?Kinacho wafanya mgushi sahihi za wana Chadema kwenda bungeni ni nini wakati mkakati wa miaka mitano ulikua kuua upinzani.
Bora umeongea point... wenzako hio tweet inatosha wanatembea naoWatoa
Tamko rasmi sio tweet
Kwa Chadema ni mwenyekiti (wa kudumu) kupata faida binafsi! Angalau kwa CCM, faida ya taasisi...Sikushangai kwa sababu lengo kuu la CCM ni kupata faida hata kwa kumwaga damu.
Je Chadema inaitambua ruzuku iliyotokana na uchaguzi inayoukataa?
WB, IMF ni wafanya biashara. Hawawezi sikiliza propaganda zetu hapa
That was 2015 this is 2020.Kwa nini waliingia bungeni 2015 na hawakususa kama ilivyo 2020? Chadema is miles far worse than chama ruzuku...
Kwenye viti maalumu kinachozingatiwa ni idadi ya kura za wabunge wote kwa pamoja na siyo idadi ya wabunge.Ndio maana nikasema, hao wabunge watakaoitwa "viti maalum wa Chadema" kama watateuliwa, watakuwa na maswali ya kujibu.
Unaendaje mahakamani hauna form za matokeo ?Hilo la mahakamani nalo linaweza kuwa mojawapo ya ajenda za kikao cha kamati kuu kama watakutana.
Haujasikia mgombea wa Republican akipinga matokeo?Ila kweli maafrika ni manyani,nimefuatilia uchaguzi wa us kuanzia kampeni hadi kutangazwa mshindi sjasikia kama kuna mtu kapigwa huko au kuuawa au figisu zozote kisa uchaguzi
Exactly, naona hivi vitisho vya ruzuku vinatumika sana ili kuwafanya cdm waingie kwenye mtego. Sasa hivi taasisi nyingi humu nchini zinaongozwa kwa weledi duni, kwakuwa viongozi wake huwa wanatishiwa kuwa eti watatolewa kwenye hizo nafasi zenye ulaji. Na yote hiyo inatokana na katiba mbovu, ambayo inampa rais nafasi ya kumchagua na kumtoa yoyote amtakaye. CUF ya Maalim Seif ilisusia ule uchaguzi wa kihuni, mbona waliendelea kuwepo mpaka walivyohamia ACT?Faida inayotazamwa ni ya Tanzania siyo kununuliwa kupitia ruzuku.
"Upinzani ruzuku" ndiyo CCM inaoutaka na si "Upinzani wa kushika dola".
Chama chochote kuliko kubaki kuwa "chama ruzuku" ni bora hicho chama kife!, maana kitakuwa hakina faida kwa Wananchi
Swali ni kwa nini? Sasa kwa kukusaidia tu wewe slow learner, ni kwa sababu Bw Makengeza alishinda...That was 2015 this is 2020.
Haukubaliki kwa nani?Utopolo uliofanyika kwenye uchaguzi huu haukubaliki.
Ufutwe kwa kuwa mmekataliwa kwa aibu na wananchi? Tume ni huru sana, ndiyo maana mligombaniana kwenda kuchukua fomu za kugombea...Uchaguzi ufutwe, iundwe tume huru ya uchaguzi, kisha uchaguzi huru na wa haki ufanyike.
Na kwa akili zenu hapo ndo mnawakomoa CCM eti!🤔🤔Vinginevyo, bunge liwe la kijani mtindo mmoja