Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Tunawasaidia tu kazi, maana mliwapora kura, acha na hao viti maalum wasiende ili mpate nafasi zaidi. Wapeni hivyo viti wabunge wa NCCR, CUF, TLP nk, maana wao ndio hawana watu, lakini wanawalamba miguu ccm. Cdm msiende kwenye hilo bunge la ccm.
Ndio maana wananchi wameacha kuwapigia kura baada ya kugundua CDM sio chama cha siasa ila ni saccos ya Mbowe na wenzake

2015 Lowasa nae alisema yeye ndio mshindi ila ameibiwa kura mbona Mbowe na wenzake walienda Bungeni
 
Tume wanahangaika nini ?? Siwalitaka CCM ibaki peke yake bungeni?
Tulipowashauri CCM wafute vyama vingine ili wabaki peke yao hawakutuelewa wavumilie haya matokeo yajayo ambayo hakuna kati yetu ambae hataona machungu yake.
 
Nilidhani una akili kumbe Bure mno! Uchaguzi wa USA unaulinganisha na wa bongo? Kisha unashangilia wizi na kujitapa hapa! Isiwe unasaka uteuzi maana hutopata! Anzeni kutubu maana Bidden hanaga kuremba kwenye haki zinazominywa na kunyimwa! Jipangeni kweli na anzeni kutubu!
Kwann usihamie kwa Biden mkuu
 
Chadema kina umri wa miaka 28 tangu kiasisiwe na miaka 25 tangu wabunge wake wa kwanza waingie bungeni akina rip Ndesamburo, rip Kaborou, Dr Slaa nk.

Swala la kutotambua matokeo ya uchaguzi linaendana na chama kupoteza haki yake ya kupata ruzuku na zawadi ya viti maalumu vya wabunge wanawake kwa mujibu wa katiba na sheria.

Chadema wananchi tunataka kujua msimamo wenu ni upi?

Je, mmesamehe ruzuku?

Maendeleo hayana vyama!
Potelea mbali wananchi watachangia chama,kwani chama wakati kinaanza kulikua na ruzuku mbona kipo hapa, chama ni Imani, na Imani ni watu na watu ni chama basi
 
Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
kama kawaida yao CHADEMA kutoa pre emptive statements ili kuwapoteza wafuasi wao.
Kiutaratibu majina yanatakiwa yafike Tume kabla ya uchaguzi,kumbukeni tu kule tume kuna CCTV camera,mtu wenu wa despatch ataonekana tu mkikataa
 
Tume wanahangaika nini ?? Si walitaka CCM ibaki peke yake bungeni?
Mkuu usidhani CCM wana raha hapo walipo !!, nao wanahangaika na kuhofia vivuli vyao, nafikiri umeona jinsi ambavyo wameshindwa hata kushangilia kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita huko nyuma
 
Chadema kina umri wa miaka 28 tangu kiasisiwe na miaka 25 tangu wabunge wake wa kwanza waingie bungeni akina rip Ndesamburo, rip Kaborou, Dr Slaa nk.

Swala la kutotambua matokeo ya uchaguzi linaendana na chama kupoteza haki yake ya kupata ruzuku na zawadi ya viti maalumu vya wabunge wanawake kwa mujibu wa katiba na sheria.

Chadema wananchi tunataka kujua msimamo wenu ni upi?

Je, mmesamehe ruzuku?

Maendeleo hayana vyama!
Hivi Mkuu wewe huwa wakala wa nani hasa ???.
 
kama kawaida yao chadema kutoa pre emptive statements ili kuwapoteza wafuasi wao.
Kiutaratibu majina yanatakiwa yafike Tume kabla ya uchaguzi,kumbukeni tu kule tume kuna cctv camera,mtu wenu wa despatch ataonekana tu mkikataa
Hizo CCTV camera zenu huwa haziwezi kuwaona watekaji na wauwaji kama wale waliomshambulia kwa risasi Tundu Lissu pale Dodoma 2017??
 
Mkuu usidhani ccm wana raha hapo walipo !!, nao wanahangaika na kuhofia vivuli vyao, nafikiri umeona jinsi ambavyo wameshindwa hata kushangilia kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita huko nyuma
Hakuna cha kushangilia, unashangilia ujinga? Jiwe hakufikisha hata asilimia 30 ana cha kufurahi? Yeye aendelee kumtaja MUNGU kutwa mara 20 atakipata anachokitafuta.
 
CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge

Hiki chama kina ubinafsi sana
Lengo ni CCM wawe pekeyao bungeni kwanini mnahitaji wawepo wapinzani?
 
Rais huwa anayeua watanzania mkuu. Vyama havihusiki kabisa ktk wabunge 10 wa rais. Kinachoangaliwa ni wawe watanzania 5 wanawake na 5 wanaume. Baaasi!
mnachanganya vitu viwili tofauti jabisa, hapa point ilikuwa inaongelea Viti maalumu sio Wabunge wa kuteuliwa na rais zile nafasi 10
 
CHADEMA hawana ujasiri wa kukataa ruzuku, ni issue ya muda tu na kupanga maneno laini ya kuwalainisha.
Sio chadema tu hata hao CCM wako pale kwaajili ya chambichambitu
 
Back
Top Bottom