Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Ndio maana wananchi wameacha kuwapigia kura baada ya kugundua CDM sio chama cha siasa ila ni saccos ya Mbowe na wenzakeTunawasaidia tu kazi, maana mliwapora kura, acha na hao viti maalum wasiende ili mpate nafasi zaidi. Wapeni hivyo viti wabunge wa NCCR, CUF, TLP nk, maana wao ndio hawana watu, lakini wanawalamba miguu ccm. Cdm msiende kwenye hilo bunge la ccm.
2015 Lowasa nae alisema yeye ndio mshindi ila ameibiwa kura mbona Mbowe na wenzake walienda Bungeni