Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:

Screenshot_20201018-175223_Twitter.jpg

Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
 
Wakiweza kudhibitiwa vilivyo kwenye majumuisho ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura, possibility ya kumalizwa ipo.

Michezo yote hufanyika humo!
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
 
Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:

View attachment 1604156

Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwalinda Viongozi wote watakaoshiriki kwenye hatua hii ya lalasalama, Ni matamanio yangu nchi yetu itapata kiongozi atakaye simama na Watanzania wote #Ni yeye Tundu Lissu 2020
 
Back
Top Bottom