Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ahaa!!!!,Basi anaweza kuwa Membe.Lkn mkuu mimi najiuliza mbona Majaliwa anazunguka kumpigia Kampeni Magu wakati yeye ni mgombea wa ubunge jimboni kwake?,anafanya hivyo km nani?.Zitto yupo anapambania Jimbo Kigoma huko. Hawezi kuanza kuzunguka majimboni. Kwanza Sheria hizi walizotunga zinambana
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app