ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hio pole ipeleke chatoPole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. Tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio pole ipeleke chatoPole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. Tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.
Mkazifanyia nini? Hizo mnazotumia kukusanyia watu au?Yaani chopa tatu imekuwa taarifa nayo wakati chama dume imeshatumia sana tu na wala hakuna aliyeleta thread humu. Kweli wahenga walisema MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA!!!
Utakuwa ulisoma BAM.Mikutano 450 kwa siku 9 Chopa 3
450÷9= 50mikutano kwa siku
50÷3 chopa = 16Mikutano Dah hapa katibu wangu hebu tufafanulie kidogo.
Waongo Sana hawa jamaa.Mikutano 450 kwa siku 9 Chopa 3
450÷9= 50mikutano kwa siku
50÷3 chopa = 16Mikutano Dah hapa katibu wangu hebu tufafanulie kidogo.
Anatumia Makamo wa Rais na W/Mkuu na Makada wengine!Mkazifanyia nini? Hizo mnazotumia kukusanyia watu au?
Hii ni kazi ya wagombea ubunge na udiwani upinzani huko majimboni na katani wabanane na mawakala wao huko vituoni kama alivyofanya Dr. Mengi (RIP) Dar 2015. Wasimuachie kila kitu Lissu.Wakiweza kudhibitiwa vilivyo kwenye majumuisho ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura, possibility ya kumalizwa ipo.
Michezo yote hufanyika humo!
Usichangie hujalazimishwa, sisi tunachangia pesa ni zetu usitupangie! Mbona tunapopinga ufujaji wa pesa za walipa kodi unaofanywa na serikali ya Magu huwa unaufyata?Mko busy kukusanya michango kwa wananchi wanyonge as if hamkuwa na ruzuku,michango ya wabunge 1.5Mil kila mbunge. Chama cha mjasiriamali Mbowe, hivi huoni hata aibu kuhadaa na kulaghai watanzania?.
View attachment 1604241
Wakiweza kudhibitiwa vilivyo kwenye majumuisho ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura, possibility ya kumalizwa ipo.
Michezo yote hufanyika humo!
Mmesahau kipindi cha mange kimambi watu kibao walihama ccm na mimi ikiwemo mmoja wao so una uhakika gani kuwa hao watu wote hadi leo hii wapo ccm bado?Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Yaani mnafikiri maandalizi ya ushindi yanaanza kwenye kupiga kura tu? CCM imeanza maandalizi tangu 2018 kwa kuhamasisha wanachama wake kujiandikisha na rekebisha taarifa zao kwenye daftari la kupigia kura upinzani ulikuwa busy na ajenda ya kususia uchaguzi kama Katiba Mpya haitakuwepo hivyo washabiki wake hawakuwa busy na kujiandikisha na kurekebisha taarifa zao kwenye daftari la kupigia kura pia kumbuka uongozi ngazi za mitaa na vijiji ni CCM tuuu!! Halafu utegemee kushinda!!! Viongozi wa Chadema wanachotegemea sana sana ni kura za kuwawezesha kupata ruzuku ili miaka 5 tena wazipige kama walivyozipiga za 2015 - 2020Absolutely, Yes..
Iko hivi;
1. KWA MADIWANI;
Mchezo wa wizi wa kura huanzia kwenye vituo vya kupigia kura. Zisipotosha, wanamalizia kwenye kituo cha majumuisho na kutangazia matokeo yaani Mtendaji wa kata...
2. KWA UBUNGE;
Kama kawaida, mchezo wa wizi huanzia kwenye kituo vya kupigia kura na kura za wizi zisipotosha, msimamizi wa uchaguzi wa jimbo (DED) anamalizia kazi..
3. ZA URAIS;
Kama kawaida wizi wa kura unaanzia kwenye kituo cha kupigia kura, zisipotosha msimamizi wa uchaguzi wa jimbo naye anaiba kujazilizia na mwisho kituo kikuu cha kupokelea matokeo (tallying centre) cha NEC kama hazikutosha nao wanafanya yao kumshindisha wamtakae..
KWA HIYO;
Kukiwa na mawakala kila kituo ambao ni vigilant, kwa hakika mwaka huu CCM hawana chao...
Mwaka 2015, nyeti za ndani kabisa zinasema Magufuli alipata kura za Urais zisizozidi milioni tatu (3,000,000) nchi nzima dhidi ya milioni kumi na mbili plus (12,000,000+) za Edward Lowassa..
Lakini kwa sababu ya kambi ya Edward Lowassa (CHADEMA/UKAWA) kutokuwa makini waliruhusu mchezo wa wizi kufanyika kirahisi kabisa na matokeo kubadilishwa..!!
Mkuu, chopa zitaongezeka hadi kufikia 9Waongo Sana hawa jamaa.
Safi sana. Mungu amtangulie TAL kwenye safari hii ya ukombozi. Tunaendelea kuchangia kwa hali na mali.Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:
View attachment 1604156
Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Kama ni hivyo wasiwasi wa nini? Kaa kimya tu usubiri ushindi.Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Unafikiri hatujitambui kama wanasaccos wa Chadema? Kura zetu kwa Rais Magufuli fullstop!Watumishi kura kwa Lissu zote.
Mmeteswa sana miaka 5
Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMAKuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:
View attachment 1604156
Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Huko ccm kila mtu ana figure yake. Mwingine anasema 85%, ww una yako 75%, tusubiri tuone tume watachukua figure ipi kwenye hiyo, maana wao wana idadi ya wapiga kura 29m+ ambayo ni zaidi ya watanzania wote wenye umri wa miaka 18 nakuendelea. Safari hii kazi mnayo ya kulazimisha kutangazwa washindi.Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Wanachama? CCM ina wanachama? Ungesema "wanachama maslahi" wa kutumia uanachama wa CCM kama "kivuli" cha kujifichia kuepuka chokochoko za watawala waovu ningekuelewa..Yaani naona kwenye vichwa vyenu akili hazifanyi kazi kabisa mnafikiri maandalizi ya ushindi yanaanza kwenye kupiga kura tu? CCM imeanza maandalizi tangu 2018 kwa kuhamasisha wanachama wake kujiandikisha na rekebisha taarifa zao kwenye daftari la kupigia kura upinzani ulikuwa busy na ajenda ya kususia uchaguzi kama Katiba Mpya haitakuwepo hivyo washabiki wake hawakuwa busy na kujiandikisha na kurekebisha taarifa zao kwenye daftari la kupigia kura pia kumbuka uongozi ngazi za mitaa na vijiji ni CCM tuuu!! Halafu utegemee kushinda!!! Viongozi wa Chadema wanachotegemea sana sana ni kura za kuwawezesha kupata ruzuku ili miaka 5 tena wazipige kama walivyozipiga za 2015 - 2020
Mkuu unabusara sana Salute Mingi sana....Wacha wee,Mambo yamehsribika Hadi sasa,yafaa Kwanza tuukubali ukweli,ili tuweze kupata suluhu ya tatizo,bila hivyo twazidi haribu.