Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Mitukano 450 maana huko hawaendi kunadi sera bali kejeli na matusi tu.
Kwa mikutano ndio wanaanza leo,mbona kitambo?.
Basi ingekuwa wananadi kejeli na matusi mikutano yao isingesheheni maelfu na maelfu ya wasikilizaji kila wanakikwenda.
 
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Unadhani wapiga kura wa CCM waliojiandikisha wote lazima wapigie kura CCM?.
Hata waliojiandikisha upande wa pili wanaweza kuipigia CCM.
Katika ili lolote linaweza kutokea.
 
Duuuu, ka-ndege kenyewe kameshachoka kweli - kasije kuwa kama kalikombeba Firikwanjomba
 
Hiyo ni ya nchi nzima. BTW Chadema wana wanachama wangapi waliojiandikisha kupiga kura? Au bado wanatafuta michango?
Wanachama wa cdm wako kwenye kadi ya mpiga kura, utawaona siku ya kupiga kura ukitaka kujua hilo nenda hapo kwa jirani kenya hakuna chama chenye wanachama,huo ulikuwa ni utaratibu wa zamani, mwanachama ni yule anayetaka kugombea raia wengine hawana habari na makadi ya vyama.
 
Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:

View attachment 1604156


Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Chopa zitumike pia kusambaza mawakala na kukusanya matokeo
 
It is practinally impossible.
Hata wakianza saa 12kamili asubuhi mpaka 12kamili joni watahitaji dk 45 kwa kila mkutani ili kufanya mikutana 16 kwa kila chopa kwa siku.

Hapo bado hujaweka muda wa kusafiri kutoka kituo kimoja kwenda kingine.
Hiyo hesabu ya mikutano 450 kwa siku 9 inakataa. Labda alimaanisha mikutano 45 na siyo 450.
Ccm bana nyie kwenu kila kitu hakiwezekani, kwa hiyo hata kuondoa umasikini uninga na maradhi haiwezekani??
 
Hakuna mtu yeyote mcha Mungu anayeunga mkono ccm , wengi ni wasaka vyeo kwa gharama yoyote , sasa Watz wengi hawako hivyo
Tupo wengi tunaoiunga mkono CCM acha kupotosha.


October 28th tujitokeze kwa wingi tukamchague JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Mwaka 2015 tuliambiwa kuwa CCM ina wanchama zaidi ya milioni 15 lakini Magufuli akapata kura milioni 8 tu, na pia tukaambiwa CHADEMA ina wanachama laki nne halafu mgombea wao akapata kura zaidi ya milioni Sita.

Unajifunza nini hapo?
 
Ccm bana nyie kwenu kila kitu hakiwezekani, kwa hiyo hata kuondoa umasikini uninga na maradhi haiwezekani??
Duuh!
Mkuu hicho chama kwangu ni kama pepo mchafu. Nimeongelea uhalisia, ninatamani ifanyike hata zaidi ya hiyo lakini siyo rahisi.
Mikutano 16 kwa siku kwa chopa moja!!!
Hapana haiwezekani, wakijitahidi 8 inawezekana.
 
Back
Top Bottom