Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Anayeunga mkono mgombea wa chadema tushamfahamu. Ni Magufuli.
 
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Maandisi yanatuumiza macho tunashindwa kuyasoma,yakawaida yanatuwezesha wore kuyasoma ndugu.
 
Mnatafuta namna ya kujustify kuiba kura sio?!
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
 
Mitukano 450 maana huko hawaendi kunadi sera bali kejeli na matusi tu.
Majimbo 45 mikutano 450 maana yake kila jimbo ni mikutano 10 kwa watu watatu ni mikutano mitatu hadi minne kila mmoja kwa chopa ni kiafisa sana mapema tu wanaenda hoteli kupumzika mgombea akikaa masaa mawili mahali Ni mengi sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Endeleni kudanganyika na huo ujinga wa polepole wenzenu wapo field kusaka kura nyie mpo na mawazo ya kura za watu ambao hawapo badae mumtafute mchawi nani
 
Mbona mgombea mwenye 75% ya waliojiandikisha anahangaika??

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu maana ya kuhangaika? Rais yupo kazini 24/7 kama hufahamu. Iwe kampeni aula ni moja ya kazi yake kunadi sera zake za kuiondoa Tanzania kwenye umasikini. Si unaona kazi aliyofanya kwa miaka mitano? JK alishindwa kujenga nyumba ya Nkapa na Mwinyi.

Chuma kimeingia kimefunga kazi, na hizo ni rasha rasha tu masika bado. January SGR to Morogoro trial zitaanza na July Dodoma will follow. Stay tuned we goner revolutionize this country in no time. Wakati wa porojo umeisha hapa kazi tu.

Chadema endeleeni na michango yenu.
1603037500920.png

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Watanzania wamechangia kwa Hasira ili kuung'oa utawala dhalimu.

Tunaomba Muwe makini sana,hata mnakonunua mafuta maadui hawachelewi kuchanganya na mafuta ya alizeti

Maaskofu na Masheikh wanaosimama pamoja nanyi wawe ni timu ya maombi wakiungana na watanzania wapenda haki.
 
Mikutano 450 kwa siku 9 Chopa 3

450÷9= 50mikutano kwa siku

50÷3 chopa = 16Mikutano Dah hapa katibu wangu hebu tufafanulie kidogo.
It is practinally impossible.
Hata wakianza saa 12kamili asubuhi mpaka 12kamili joni watahitaji dk 45 kwa kila mkutani ili kufanya mikutana 16 kwa kila chopa kwa siku.

Hapo bado hujaweka muda wa kusafiri kutoka kituo kimoja kwenda kingine.
Hiyo hesabu ya mikutano 450 kwa siku 9 inakataa. Labda alimaanisha mikutano 45 na siyo 450.
 
Kama kwa gari aliweza kufanya mikutano 3-4 kwa siku basi kwa chopa hawatashindwa.

Jiwe Must Go
Mikutano 450 kwa siku 9 Chopa 3

450÷9= 50mikutano kwa siku

50÷3 chopa = 16Mikutano Dah hapa katibu wangu hebu tufafanulie kidogo.
 
Back
Top Bottom