Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Zitto yupo anapambania Jimbo Kigoma huko. Hawezi kuanza kuzunguka majimboni. Kwanza Sheria hizi walizotunga zinambana
Ahaa!!!!,Basi anaweza kuwa Membe.Lkn mkuu mimi najiuliza mbona Majaliwa anazunguka kumpigia Kampeni Magu wakati yeye ni mgombea wa ubunge jimboni kwake?,anafanya hivyo km nani?.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza yeye ni Mbunge Mteule maana walifanya figusu kuwazuia wengine na sasa hana mpinzani. So hana pressure kuomba kura

Then sasa wanamtumia kwa gear ya “Ujumbe wa Halmashauri Kuu sana ya CCM”
 
Umeona eennhh????,Ingekuwa hivyo chama kingine,nakwambia pasingetosha.

Back
Top Bottom