dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
“Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA”Vipi sheikh ponda ana chopa yake na yeye
Ni hivi , CCM imekwisha“Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA”
Anaweza kuwa Membe huyu..
Wacha wee,Mambo yamehsribika Hadi sasa,yafaa Kwanza tuukubali ukweli,ili tuweze kupata suluhu ya tatizo,bila hivyo twazidi haribu.Pole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.
Hapa JF. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNi hivi , CCM imekwisha
Wakiweza kudhibitiwa vilivyo kwenye majumuisho ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura, possibility ya kumalizwa ipo.Ni hivi , CCM imekwisha
Naamini watanzania ni watu waungwana Sana,Kama ikiwa hivyo watakataliwa Ila ikiwa wanabeba ujumbe mahsusi,waupendao watanzania Mambo yatawanyookea.Mitukano 450 maana huko hawaendi kunadi sera bali kejeli na matusi tu.
Kwakweli Membe ni Kachero“Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA”
Anaweza kuwa Membe huyu..
Waacheni waandamane eee😄😄Hapa JF. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .Wakiweza kudhibitiwa vilivyo kwenye majumuisho ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura, possibility ya kumalizwa ipo.
Michezo yote hufanyika humo!
Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwalinda Viongozi wote watakaoshiriki kwenye hatua hii ya lalasalama, Ni matamanio yangu nchi yetu itapata kiongozi atakaye simama na Watanzania wote #Ni yeye Tundu Lissu 2020Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:
View attachment 1604156
Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Dont believe everything you hear from Polepole😄Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%.
Sheikh Ponda'Chopa ya tatu itatumiwa na anayemuunga mkono mgombea wa chadema'
ni yupi huyo 'anayemuunga'?
#ni yeyeeeeeePole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. Tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.