John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

Haya mambo sio yakuletea dhihaka fahamu kuna roho za watu zinateseka muda huu..
Na kuna ambazo zimepotea mazima, so its to shut up your mouth, than spitting shits
Usihangaike na Wajinga
 
CHADEMA wanachokozwa Ili walipe kisasi, maadui wapate sababu,

Muhimu ni kuendelea kuwa watulivu na kudai HAKI bila kisasi,

Hatimaye mateke anayorusha punda yatabainika kumbe ilikuwa ni hatua za mwisho kukata Roho.

Tuendelee kuwa watulivu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
 
Mbona Zanzibar watu hawatekwi?
 
Watanzania watanzania
Haya mauaji yanayoratibiwa na dola yatamaliza wengi.

Tukatae aina hii ya ukamataji kupitia nguvu ya umma
 
Huko Tanga si kuna mfuasi aliumizwa jana
 
Mtawatumia Red brigade waliokwishafutwa na msajili kama tulivyofutwa sisi ama ndio mtaimport "foreign mercenaries"?!!

Maana halishindikani hilo....
Ndani yenu nusu yao si wenu

Kikwete alisema hivi, "Tukitegemea Polisi Tutashindwa"
 
Ndani yenu nusu yao si wenu

Kikwete alisema hivi, "Tukitegemea Polisi Tutashindwa"
[emoji1787][emoji1787]
I see it you expect much from that delusional thoughts ,by the way ,CCM knows 10D's much than you do....

Dadangu unaweweseka mapema hii ?!!

Punguza kunywa "energy drink" usiku mwingi [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…