Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Hii ndio serikali mnayoiabudu na kuisujudia kila uchao, kisasi kitagusa kila aliyeshiriki na kushabikia.Duh...!.
P
Hakutakuwa ma mswalie Mtume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio serikali mnayoiabudu na kuisujudia kila uchao, kisasi kitagusa kila aliyeshiriki na kushabikia.Duh...!.
P
Usihangaike na WajingaHaya mambo sio yakuletea dhihaka fahamu kuna roho za watu zinateseka muda huu..
Na kuna ambazo zimepotea mazima, so its to shut up your mouth, than spitting shits
Shetani hajawahi kumshinda Mungu, Wanaowalinda ni ndugu wa wanaotekwa, Soma historia MkuuWatafurahi sana hawa wakifanikiwa kirahisi namna hii unavyo ichukulia wewe. Hiyo itakuwa nafasi nzuri kwao ya kuwaondoa kwenye kibano kinacho elekea kuwakabili.
Hahaha haya anzisha kukamiaNilijua ni mwanaume kumbe ni mtoto mzuri wahuni tumkamie
Hapa JF utadhalilika sana, kuwa Makini, hao masikini wenzio watakupotosha, Hivi huyu unayekesha kumpigania Samia Suluhu ambaye viongozi wote wa ccm wanamuabudu ni Mwanaume?Nilijua ni mwanaume kumbe ni mtoto mzuri wahuni tumkamie
Kuwa Makini mnoKumbe ni demu?
Kaka yake niko hapa...Hahaha haya anzisha kukamia
Mbona Zanzibar watu hawatekwi?CHADEMA wanachokozwa Ili walipe kisasi, maadui wapate sababu,
Muhimu ni kuendelea kuwa watulivu na kudai HAKI bila kisasi,
Hatimaye mateke anayorusha punda yatabainika kumbe ilikuwa ni hatua za kukata Roho.
Tuendelee kuwa watulivu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
[emoji1787][emoji1787]Kuwa Makini mno
Watanzania watanzaniaHii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Zanzibar haipo CHADEMA Imara yenye kutisha watawala dhalimu.Mbona Zanzibar watu hawatekwi?
Drama hazijaenea kufikia huko....Mbona Zanzibar watu hawatekwi?
Endelea kuchekelea Mauaji lakini zamu yako haiko mbali, Muulize NapeDrama hazijaenea kufikia huko....
Chadema italipa kisasiHivi basi zima hakukuwa na BAVICHA? Kuna haja ya chadema kukopa falsafa ya jino kwa jino kutoka CUF.
Huko Tanga si kuna mfuasi aliumizwa janaHii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Mauaji yapi dadangu ?!!Endelea kuchekelea Mauaji lakini zamu yako haiko mbali, Muulize Nape
Mtawatumia Red brigade waliokwishafutwa na msajili kama tulivyofutwa sisi ama ndio mtaimport "foreign mercenaries"?!!Chadema italipa kisasi
Ndani yenu nusu yao si wenuMtawatumia Red brigade waliokwishafutwa na msajili kama tulivyofutwa sisi ama ndio mtaimport "foreign mercenaries"?!!
Maana halishindikani hilo....
[emoji1787][emoji1787]Ndani yenu nusu yao si wenu
Kikwete alisema hivi, "Tukitegemea Polisi Tutashindwa"