Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Hata Magufuli kabla hajafa alijua atakuwa Rais Milele, ndio maana alilazimisha viongozi wa ngazi zote kununua viwanja Chato[emoji1787][emoji1787]
I see it you expect much from that delusional thoughts ,by the way ,CCM knows 10D's much than you do....
Dadangu unaweweseka mapema hii ?!!
Punguza kunywa "energy drink" usiku mwingi [emoji1787]
Babu yangu sio mzee Duni Haji....Hata Magufuli kabla hajafa alijua atakuwa Rais Milele, ndio maana alilazimisha viongozi wa ngazi zote kununua viwanja Chato
Sikushangai wewe mtu duni kujidanganya kama hivyo
Unayemwita Dada aweza kuwa Mume wa Shangazi yako, hii JF kuwa makini sanaBabu yangu sio mzee Duni Haji....
Hakuna atakayeishi milele....tuogope kuyasimamia maslahi mtambuka ya nchi kwa kuwa tutakufa ?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]
Dada Tutindaga unafeli wapi ?!!
Dada Shida anakusalimia sana.....
Itapendeza sana hilo likifanyikaChadema italipa kisasi
Huyu pasco mjinga sana kumbukeni ndio alieanzisha dhana kwamba lisu kajipiga risasi mwenyewe akishirikiana na mch mashimo tapeli.Kila Ubaya Utalipwa
[emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]Unayemwita Dada aweza kuwa Mume wa Shangazi yako, hii JF kuwa makini sana
Hakuna tulichosahauHuyu pasco mjinga sana kumbukeni ndio alieanzisha dhana kwamba lisu kajipiga risasi mwenyewe akishirikiana na mch mashimo tapeli.
Waziri wa mambo ya ndani anatoka nchi ya kigeni unategemea nini?Ifike kipindi police wajitafakari hata kama ni maagizo waangalie uhalali wa ayo maagizo police sio maroboti
Umejuaje kama hakukuwa na mtu kwenye gari kama wewe hukuwepo eneo la tukio ? Tukisema wewe ni muhusika tutakuonea?Mnyika anasema ametoa taarifa hii ili kama kuna yeyote alikuwepo kwenye basi atoe ushirikiano.
Hakuna mtu alikuwepo kwenye basi, zaidi ya mtekwa! Dereva yeye, tingo yeye, abiria yeye.
Mnyika amekuwa akipwaya kichwani jinsi miaka yake inavyoongozeka kwenye siasa na uongozi.
Waje tena waseme Mama ni dhaifu ππmama yenu si mnamsifia anaingia jikoni na kupika? mnadanfanywa na kuchezewa sana, pure evil β¦
Bongo Kila mtu anapambania nafasi yakeHuu sasa ni ujinga.. basi linasimamishwa, mtu amafungwa pingu na watu wenye nguo za kiraia yeye anakubali tu? Abiria nao wanakubali tu?
Juzi dereva wa basi kauwawa huku abiria wake wakirekodi video wamekubali tu?
Watanganyika kwa ukondoo huu ni haki yenu kufanyiwa yanayofanywa na wenye mamlaka. Huu ni ujinga sio upole wala woga.
Mama ni dhaifu zimeishia wapi? ππππHii ndio serikali mnayoiabudu na kuisujudia kila uchao, kisasi kitagusa kila aliyeshiriki na kushabikia.
Hakutakuwa ma mswalie Mtume
Hii ndio Taarifa
Unanikumbusha Enzi za ubaguzi wa rangi huko SA. Walikuwepo waswahili kama weweDrama hazijaenea kufikia huko....
Mnyika anasema ametoa taarifa hii ili kama kuna yeyote alikuwepo kwenye basi atoe ushirikiano.
Hakuna mtu alikuwepo kwenye basi, zaidi ya mtekwa! Dereva yeye, tingo yeye, abiria yeye.
Mnyika amekuwa akipwaya kichwani jinsi miaka yake inavyoongozeka kwenye siasa na uongozi.