John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana


Your browser is not able to display this video.
 
Mtaalamu wa nini? Kamati ya ufundi? Maana kama ni Tanga line......
 
Watasema jeshi la polisi lilizuia mikusanyiko bila kibali, humo ndani ya basi alikutwa na watu wengine 65 wakitaka kufanya mkutano.
Jeshi la polisi halitavumilia uvunjifu wa amani.
 
Kwa mujibu wa katibu amesema Amechukuliwa hajatekwa hivyo tutulie vyombo husika vitatupa taarifa kamili
Ingelikuwa ni wa ccm taarifa ingelitoka hiyohiyo jana,ila kwa,vile waliofanya hivyo ni policcm na mlengwa ni kiongozi wa chadema hakuna chombo kitakachofanya hayo.
 
Fikiria kidunia zaidi

Ikiisha Teka Teka inakujaga chomachoma Shule we meku

Uwage mbele ya wakati meku 😂😂
 
DC aliyefukuzwa vipi karudi kwenye mapori yake ?
 
 

Attachments

  • IMG-20240906-WA0029.jpg
    169.7 KB · Views: 1
Hivi basi zima hakukuwa na BAVICHA? Kuna haja ya chadema kukopa falsafa ya jino kwa jino kutoka CUF.
Mama yenu si anaupiga mwingi?

Kwanza mnatekwa kwani Magufuli bado yupo?
 
Ujitokeze ww ili umfanye mfano kwa wengine.
Mkuu mamayo huyu anaupiga mwingi!
Siyo dhalimu kabisa!
Mungu amewafuta machozi, hao watu wantekwa na Magufuli
 
Nchi ya Wasiojitambua
 
Nikikumbuka mbwembwe za Chadema walivyo mpokea Samia wakati anaingia madarakani na kumpa tuzo juu;nachoka mimi!
 
Hali inatisha. ....Nyumba nyeupeee kimyaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…