Bwana P mambo yanaendajeDuh...!.
P
Mambo poa .Bwana P mambo yanaendaje
Inashangaza sanaHuu sasa ni ujinga.. basi linasimamishwa, mtu amafungwa pingu na watu wenye nguo za kiraia yeye anakubali tu? Abiria nao wanakubali tu?
Juzi dereva wa basi kauwawa huku abiria wake wakirekodi video wamekubali tu?
Watanganyika kwa ukondoo huu ni haki yenu kufanyiwa yanayofanywa na wenye mamlaka. Huu ni ujinga sio upole wala woga.
Huyu mzee picha yake haipo popote...?Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Ngoja tukuwekeeHuyu mzee picha yake haipo popote...?
Unasikitisha sana 'john'.Fikiria kidunia zaidi
Ikiisha Teka Teka inakujaga chomachoma Shule we meku
Uwage mbele ya wakati meku 😂😂
Hajawahi kuwa na akili nzuri, Ni hivi hakuna Mwanaccm Mwenye akili nzuriUnasikitisha sana 'john'.
Wakati mwingine unaonekana kuwa kama mtu mwenye akili nzuri tu, na mtu mwenye kujuwa historia nzuri ya nchi hii; lakini mara moja bila kutabirika akili hiyo hiyo inabadilika na kuwa kama ya kichizi!
Mtu mzima, wa makamo sana; kama siyo mzee, utakuwaje na akili za aina hii?
Sasa kwa mfano angalia hayo uliyo andika hapo juu kama kuhalailisha ukichaa ulio kuingia ulipo weka habari tofauti kabisa na mada husika hapa.
WaTanzania kutekwa siyo jambo la kufanyia mzaha hata mara moja. Hata kama ni tofauti za kisiasa, hili haliwezi kamwe kuwa jambo la kufanyia dhihaka.
Niseme tu, unanisikitisha sana kuliko kunikasirisha.
Hapo sasa!..Mnyika amesema Ali Mohammed Kibao, kiongozi wa Chadema, amekamatwa akiwa ktk basi la Tashrif la kutoka Dsm kwenda Tanga.
..bila shaka kuna wafanyakazi wa basi hilo, pamoja na abiria, wanaoweza kutoa taarifa zaidi kuhusu kilichotokea.
Hapana.Hajawahi kuwa na akili nzuri, Ni hivi hakuna Mwanaccm Mwenye akili nzuri
PumbaaaaafKaandika amechukuliwa, wewe unaandika ametekwa!!!!!
Kabisa MkuuImefika mahali ambapo ni lazima Chadema Wajibu Mapigo
.Chadema kwa kudeka, hivi makamanda wa wapi nyie
Unajisikiaje sasa kwa hii comment?Kaandika amechukuliwa, wewe unaandika ametekwa!!!!!