John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Ni kwa mujibu wa tweet hii ya John Mrema

Tutafanya mkutano na waandishi wa Habari Leo saa tano na nusu asubuhi . John Mnyika, Salum Mwalimu na Peter Msigwa watazungumza baada ya kutoka Magereza . Tutatoa updates ya michango tulipofikia

Heche pia ataongea leo kwani ameshatoka Magereza

IMG-20200313-WA0034.jpg
 
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika (Mb), Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalim, John Heche (Mb), wakiwasili Makao Makuu ya Chadema mara baada ya kutoka gerezani Segerea, leo Ijumaa 13/03/2020.

#TumeHuruyaUchaguzi
#NoHateNoFear
#Chadema
 
Huu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa aweke Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
 
Jamani, sikusikia mchango wa Lissu kuwaokoa waliokuwa kifungoni. Au naye ana hadithi ya kufungiwa akaunti.
 
Huu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa awake Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
Vipi hapo Moshi, mvua inanyesha?
 
Jamani, sikusikia mchango wa Lissu kuwaokoa waliokuwa kifungoni. Au naye ana hadithi ya kufungiwa akaunti.

Mwache Tundu Lissu apumzike ughaibuni......Bado yuko ukimbizini anaishi kwa misaada!
 
Back
Top Bottom